John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

mkome kuchagua wapuuzi, naona akili zimewakaa sawa
Watch your tongue kid, sio kila aandikae hapa ni mtoto na mjinga mjinga kama wewe. Rejea kusoma niliyoandika. Sio kila unalosoma lazima utoe maoni, sometimes you have to just read and go on.
 
Watch your tongue kid, sio kila aandikae hapa ni mtoto na mjinga mjinga kama wewe. Rejea kusoma niliyoandika. Sio kila unalosoma lazima utoe maoni, sometimes you have to just read and go on.
chagua kiswali au kiingereza sio kukoroga
 
Naona kuna haja ya JF kuandaa kampeni ya kuzunguka nchi nzima kutoa elimu ya Uraia. Kujenga madaraja sio kazi ya mbunge, Mnyika hakusanyi kodi.

Mnyika kazi yake ni kuisimamia serikali itoe hela za hyo miradi kwenye maeneo yake.... Mfano hapa anawapigania ndio mumjudge kwa hili sio kwa failure ya serikali kutimiza ahadi

ameisimamia imetoa shs ngapi? hivi mbona mna mawazo ya kijinga hivi?
 
Wee mburula mbunge hawezi kuleta maji, barabara, wala zahanati kwa sababu hana fedha! Fedha ziko serikalini na ndiyo yenye jukumu la kujenga miundombinu na huduma mbalimbali.
 
ameisimamia imetoa shs ngapi? hivi mbona mna mawazo ya kijinga hivi?
Hii ndio kazi ya mbunge sasa kusimamia mpka kieleweke..... Kama hapo kwa video so inatakiwa afuatilie mpaka ipatikane.

So mnatakiwa mumlaumu kma hatofuatilia ahadi ya waziri ila sio kumlaumu eti hajaleta maji au madaraja!! Hyo sio kazi yake ila kazi yake ni KULISEMEA BUNGENI SUALA LA MAJI ILI LIINGIZWE KWENYE BAJETI YA SERIKALI KUU
 
ameisimamia imetoa shs ngapi? hivi mbona mna mawazo ya kijinga hivi?
Mbinu inayotumiwa na serikali hii ya Magufuli ni kutopeleka fedha za kutosha katika majimbo ya upinzani. Jambo hili linafanywa makusudi ili kuua upinzani lakini haitafanikiwa.
 
Utapata taabu sana. Kunywa maji utulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu inayotumiwa na serikali hii ya Magufuli ni kutopeleka fedha za kutosha katika majimbo ya upinzani. Jambo hili linafanywa makusudi ili kuua upinzani lakini haitafanikiwa.
na fedha za jimbo zimefanya kazi gani? makusanyo ya ndani ya halmashauri yameenda wapi?
 
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020, take it from me, Chadema will be no more!.
P

Uko sahihi kwa mantiki ya kuwa iwapo cdm itakosa muwakilishi. Iwapo cdm itaendelea kufanya siasa za kikondoo ilizofundishwa na Lowassa, hiyo 2020 haitakuwa na muwakilishi, ila sio kufa. Hilo la kufa sahau, maana chama kinachotangazwa washindi sio kwa kura za wengi bali ni kupitia madaraka ya rais yanayotumika vibaya. Utakuwa mwendawazimu kuongea kwa bashasha eti cdm will be no more, kisa kitakosa wawakilishi kutokana na siasa za kishenzi. Na kwa bahati mbaya paskali ww ni mmoja ya watu mnaoshabikia siasa za kihayawani.
 
na fedha za jimbo zimefanya kazi gani? makusanyo ya ndani ya halmashauri yameenda wapi?
Acha kuonyesha ujinga wako hadharani! Fedha ya jimbo ni kiasi gani au unaropoka kwa sababu una mdomo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…