Mkuu Pter, kwanza thanks kwa hii innocent reminder, inawezekana ni kweli nilikuwa na heshima kubwa humu jf, jee hiyo heshima kubwa jf imenisaidia nini?.
Inawezekana kabisa sasa hiyo heshima inashuka hivyo vile vitu ilivyokuwa inanifaidia, heshima ikishuka nitavikosa.
Pia inawezekana kwa kadri ninavyokuwa na heshima kubwa jf, ndivyo ninavyopitia mateso na persecutions, mambo yangu yakitiwa vibano na maisha kuwa magumu, hivyo kwa kadri heshima inavyoshuka, ndivyo vile vibano vinavyoachia
Hivyo kushuka kwa heshima yangu jf, it's a blessing in disguise, soon na mimi nitajiunga na Chama na kuunga mkono juhudi vibano viishe kabisa.
Kama heshima kubwa ya jf hainisaidii lolote kuleta mkate mezani, heshima ya jf ikishuka ndipo mkate unakuja, I choose kitakacho leta mkate.
P