- Thread starter
- #521
Kwanini unadhani sikusoma vizuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unadhani sikusoma vizuri?
Kwanini unadhani sikusoma vizuri?
Wewe Jamaa bwana....
Very honest of youMkuu Pter, kwanza thanks kwa hii innocent reminder, inawezekana ni kweli nilikuwa na heshima kubwa humu jf, jee hiyo heshima kubwa jf imenisaidia nini?.
Inawezekana kabisa sasa hiyo heshima inashuka hivyo vile vitu ilivyokuwa inanifaidia, heshima ikishuka nitavikosa.
Pia inawezekana kwa kadri ninavyokuwa na heshima kubwa jf, ndivyo ninavyopitia mateso na persecutions, mambo yangu yakitiwa vibano na maisha kuwa magumu, hivyo kwa kadri heshima inavyoshuka, ndivyo vile vibano vinavyoachia
Hivyo kushuka kwa heshima yangu jf, it's a blessing in disguise, soon na mimi nitajiunga na Chama na kuunga mkono juhudi vibano viishe kabisa.
Kama heshima kubwa ya jf hainisaidii lolote kuleta mkate mezani, heshima ya jf ikishuka ndipo mkate unakuja, I choose kitakacho leta mkate.
P
Heche hakuna kitu kichwani zaidi ya kuongea tu kwa hasira muda wote kama ilivyo kawaida ya watu wa Tarime,katibu mkuu ni cheo kikubwa kinachohitaji mtu matured na bright. sasa ingawa mimi ni sio mchadema lakin naona Mnyika ni mtu ambae ni sahihi kwa hiyo nafasi.Pia mwenyekiti wa ccm taifa miongoni mwa wapinzani anaoelewana nao ni Mnyika,hivyo huenda Mnyika akatumika kama Daraja la maridhiano ya kitaifa.
Hayo kwa viongozi wote, hata jpm kamteua polepole Na bashiru kwa lengo hilohiloMbowe hataki watu wenye msimamo anataka vilaza kama kina mnyika na Jacob awapelekeshe
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sawa mkuu kwa mashihisho, naona kuwakwepa swali, sina ubaya naye nilitaka kufahamu tu.Nikusahihishe Hajatumikia miaka mitano.Katumikia miaka mitatu na nusu hivi.Pia siyo lazima uwe na cheo ili kutumikia Chadema.Chadema ina wanachama milioni 6 na nusu na ambao ni viongozi wa makao makuu hata 20 hawafiki.Kwa hiyo usihofu sana
Chadema iko ICU hivyo lazima wanakilimanjaro wakabe msitu wote!Nikiri ukweli kwamba sioni mabadiliko ambayo Mnyika atayaleta zaidi ya aliyekuwa katibu mkuu wake Mashinji, utofauti wao ni mdogo sana. Chadema ilihitaji jembe ambalo likisema kesho tunaenda vitani unalikuta kabla ya muda lipo mstari wa mbele, kwa nini sasa mwenyekiti katoa mtu soft kaingiza soft zaidi, au aliona akimpa Heche hiki cheo angeweza KUIMARIKA zaidi na hatimaye itakuwa hatari kwa utawala wake na Lissu? Kariba ya mtu kama Heche naifananisha na Dr. Slaa wa enzi zile siyo wa sasa, na hili lingekisaidia sana chama kupambana na ccm, na kuweka misimamo ya kuitetemesha serikali, ukumbuke utawala wa Mashinji umeisha hata ile mtu kurusha jiwe hakuna,ila swali langu;- Ni kipi Mbowe amekiona kwa Mnyika ambacho Heche hana? au ndo kubadili gia angani na kuachana na siasa za akina Slaa za misimamo mikali au ndo kuweka mtu ambaye atakuwa anafanya yote ambayo anaamua yeye tu?au ndo ameamua chadema kiwe na siasa za upole?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo Ni maoni yako.uteuzi Ni swala LA mteuaji.nafasi za uteuzi sababu azijua mteuzi....