John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

nimefatilia vzr kuhusu katibu mkuu wa zaman as chadema Dr mashinji ameachwa na kuteuliwa mpiganaji mwingine kijana wa chadema aliyekulia ndani ya chama mb mnyika pamoja na yote yaliyofanyika lakini mabadiliko yamechelewa sana mashinji alipwaya sana ,nawashauri pia wamwangalie Salem mwalimu kwani ukuaji wa chadema Zanzibar sion kama ni mkubwa kivile ,
 
Chade wamemtumia na kumtema kama Big G licha ya kesi inayomkabili. Sasa Mashingi hana namna zaidi ya kuunga mkono juhudi ili walau abaki barabarani.
 
Hongera zake Dr.Mashinji alipambana kiume, kutokuunga juhudi zama hizi ngumu za biashara ya binadamu anasitahili pongezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kakwambiaje?! Mimi niliuliza, imekuaje kajitoa kabisa au kaachwa kabisa?!
Chadema hawagawani vyeo bali wanapeana majukumu.Usipopata majukumu unashukuru maana ni mzigo hakuna malipo mle
 
Chadema hawagawani vyeo bali wanapeana majukumu.Usipopata majukumu unashukuru maana ni mzigo hakuna malipo mle
Mimi sikuongelea malipo popote, niliuliza tu kwamba, katumika miaka mitano, je hawakuona potential yoyote kutoka kwake na kuweza kumtumia mahala pengine ndani ya chama, badala yake anakuwa released hivyo kana kwamba hakuwa na maana yoyote kwa chama kwa hiyo miaka mitano.
Majukumu au vyeo ,vyovyote utakavyo taka kuita, sikuwa na ongelea malipo yapo au hakuna, hapana.
 
Nikusahihishe Hajatumikia miaka mitano.Katumikia miaka mitatu na nusu hivi.Pia siyo lazima uwe na cheo ili kutumikia Chadema.Chadema ina wanachama milioni 6 na nusu na ambao ni viongozi wa makao makuu hata 20 hawafiki.Kwa hiyo usihofu sana
 
Back
Top Bottom