Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes no one knows when and how, one good thing is eventually we will all die.
Wako wangapi?! Mbona unaniuliza na kunitukana?Wewe ni mjinga tena mpumbavu kabisa, unajuwa verified user wapo wangapi humu JF? Au umeamuwa kuchamba mdomo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kituChade wamemtumia na kumtema kama Big G licha ya kesi inayomkabili. Sasa Mashingi hana namna zaidi ya kuunga mkono juhudi ili walau abaki barabarani.
Hivyo naye atahojiwa au kuna uhusiano gani wa hao kuhojiwa na Dr.Mashinji huko CHADEMA kuachwa kabisa bila wadhifa wowote chamani?!Kinana na Makamba wanasubili kuhojiwa usalama na madili, hii ndio tuzo yao ya utumishi uliotukuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini Dr.Mashinji kaachwa kabisa, hakuonyesha popote anapoweza baada ya miaka mitano, au naye ni sehemu ya wasaliti aliokuwa akiwasema Mbowe?!Hujui kitu
Ha Haa Haaa
Dr Mashinji kakuambia anataka cheo Chadema?Hivyo naye atahojiwa au kuna uhusiano gani wa hao kuhojiwa na Dr.Mashinji huko CHADEMA kuachwa kabisa bila wadhifa wowote chamani?!
Wewe kakwambiaje?! Mimi niliuliza, imekuaje kajitoa kabisa au kaachwa kabisa?!Dr Mashinji kakuambia anataka cheo Chadema?
Chadema hawagawani vyeo bali wanapeana majukumu.Usipopata majukumu unashukuru maana ni mzigo hakuna malipo mleWewe kakwambiaje?! Mimi niliuliza, imekuaje kajitoa kabisa au kaachwa kabisa?!
Mimi sikuongelea malipo popote, niliuliza tu kwamba, katumika miaka mitano, je hawakuona potential yoyote kutoka kwake na kuweza kumtumia mahala pengine ndani ya chama, badala yake anakuwa released hivyo kana kwamba hakuwa na maana yoyote kwa chama kwa hiyo miaka mitano.Chadema hawagawani vyeo bali wanapeana majukumu.Usipopata majukumu unashukuru maana ni mzigo hakuna malipo mle
Unaelewa ulichokiandika?
Nikusahihishe Hajatumikia miaka mitano.Katumikia miaka mitatu na nusu hivi.Pia siyo lazima uwe na cheo ili kutumikia Chadema.Chadema ina wanachama milioni 6 na nusu na ambao ni viongozi wa makao makuu hata 20 hawafiki.Kwa hiyo usihofu sanaMimi sikuongelea malipo popote, niliuliza tu kwamba, katumika miaka mitano, je hawakuona potential yoyote kutoka kwake na kuweza kumtumia mahala pengine ndani ya chama, badala yake anakuwa released hivyo kana kwamba hakuwa na maana yoyote kwa chama kwa hiyo miaka mitano.
Majukumu au vyeo ,vyovyote utakavyo taka kuita, sikuwa na ongelea malipo yapo au hakuna, hapana.