John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Mkuu Pter, kwanza thanks kwa hii innocent reminder, inawezekana ni kweli nilikuwa na heshima kubwa humu jf, jee hiyo heshima kubwa jf imenisaidia nini?.

Inawezekana kabisa sasa hiyo heshima inashuka hivyo vile vitu ilivyokuwa inanifaidia, heshima ikishuka nitavikosa.

Pia inawezekana kwa kadri ninavyokuwa na heshima kubwa jf, ndivyo ninavyopitia mateso na persecutions, mambo yangu yakitiwa vibano na maisha kuwa magumu, hivyo kwa kadri heshima inavyoshuka, ndivyo vile vibano vinavyoachia

Hivyo kushuka kwa heshima yangu jf, it's a blessing in disguise, soon na mimi nitajiunga na Chama na kuunga mkono juhudi vibano viishe kabisa.

Kama heshima kubwa ya jf hainisaidii lolote kuleta mkate mezani, heshima ya jf ikishuka ndipo mkate unakuja, I choose kitakacho leta mkate.
P
Very honest of you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiri ukweli kwamba sioni mabadiliko ambayo Mnyika atayaleta zaidi ya aliyekuwa katibu mkuu wake Mashinji, utofauti wao ni mdogo sana. Chadema ilihitaji jembe ambalo likisema kesho tunaenda vitani unalikuta kabla ya muda lipo mstari wa mbele, kwa nini sasa mwenyekiti katoa mtu soft kaingiza soft zaidi, au aliona akimpa Heche hiki cheo angeweza KUIMARIKA zaidi na hatimaye itakuwa hatari kwa utawala wake na Lissu? Kariba ya mtu kama Heche naifananisha na Dr. Slaa wa enzi zile siyo wa sasa, na hili lingekisaidia sana chama kupambana na ccm, na kuweka misimamo ya kuitetemesha serikali, ukumbuke utawala wa Mashinji umeisha hata ile mtu kurusha jiwe hakuna,ila swali langu;- Ni kipi Mbowe amekiona kwa Mnyika ambacho Heche hana? au ndo kubadili gia angani na kuachana na siasa za akina Slaa za misimamo mikali au ndo kuweka mtu ambaye atakuwa anafanya yote ambayo anaamua yeye tu?au ndo ameamua chadema kiwe na siasa za upole?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heche hakuna kitu kichwani zaidi ya kuongea tu kwa hasira muda wote kama ilivyo kawaida ya watu wa Tarime,katibu mkuu ni cheo kikubwa kinachohitaji mtu matured na bright. sasa ingawa mimi ni sio mchadema lakin naona Mnyika ni mtu ambae ni sahihi kwa hiyo nafasi.Pia mwenyekiti wa ccm taifa miongoni mwa wapinzani anaoelewana nao ni Mnyika,hivyo huenda Mnyika akatumika kama Daraja la maridhiano ya kitaifa.
 
Unamfahamu mzee Mangula?unamuonaje yule mzee?Nimpole sana na msikivu kama vile Mnyika,lakini unajua impact yake ktk CCM?usim judge Mnyika kwa upole subiria kazi yake utaiona.KWASASA WAPINZANI WANAHITAJI SIASA ZA AKILI SANA SIO ZA NGUVU NA VURUGU MANA ALIYESHIKILIA MPINI NI JIWE HASWA ATAWAPONDAPONDA.Bora Mnyika ata deal naye ki digital.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vpi Mashinji hakuwa bright mkuu? halafu usisahau kutwambia elimu ya Mnyika...
Heche hakuna kitu kichwani zaidi ya kuongea tu kwa hasira muda wote kama ilivyo kawaida ya watu wa Tarime,katibu mkuu ni cheo kikubwa kinachohitaji mtu matured na bright. sasa ingawa mimi ni sio mchadema lakin naona Mnyika ni mtu ambae ni sahihi kwa hiyo nafasi.Pia mwenyekiti wa ccm taifa miongoni mwa wapinzani anaoelewana nao ni Mnyika,hivyo huenda Mnyika akatumika kama Daraja la maridhiano ya kitaifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe hataki watu wenye elimu pale mtu kama Heche ana mzidi elimu unategemea nini? Mbowe anataka form six mwenzie kutoka kaskazini ili ampekeshe
 
Nikusahihishe Hajatumikia miaka mitano.Katumikia miaka mitatu na nusu hivi.Pia siyo lazima uwe na cheo ili kutumikia Chadema.Chadema ina wanachama milioni 6 na nusu na ambao ni viongozi wa makao makuu hata 20 hawafiki.Kwa hiyo usihofu sana
Hahaha sawa mkuu kwa mashihisho, naona kuwakwepa swali, sina ubaya naye nilitaka kufahamu tu.
 
Nikiri ukweli kwamba sioni mabadiliko ambayo Mnyika atayaleta zaidi ya aliyekuwa katibu mkuu wake Mashinji, utofauti wao ni mdogo sana. Chadema ilihitaji jembe ambalo likisema kesho tunaenda vitani unalikuta kabla ya muda lipo mstari wa mbele, kwa nini sasa mwenyekiti katoa mtu soft kaingiza soft zaidi, au aliona akimpa Heche hiki cheo angeweza KUIMARIKA zaidi na hatimaye itakuwa hatari kwa utawala wake na Lissu? Kariba ya mtu kama Heche naifananisha na Dr. Slaa wa enzi zile siyo wa sasa, na hili lingekisaidia sana chama kupambana na ccm, na kuweka misimamo ya kuitetemesha serikali, ukumbuke utawala wa Mashinji umeisha hata ile mtu kurusha jiwe hakuna,ila swali langu;- Ni kipi Mbowe amekiona kwa Mnyika ambacho Heche hana? au ndo kubadili gia angani na kuachana na siasa za akina Slaa za misimamo mikali au ndo kuweka mtu ambaye atakuwa anafanya yote ambayo anaamua yeye tu?au ndo ameamua chadema kiwe na siasa za upole?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema iko ICU hivyo lazima wanakilimanjaro wakabe msitu wote!
 
'Mnyika sina mashaka naye ila mimi toka mwanzo nilitaka Heche na Lissu wapewe chama Mmoja mwenyekiti mwingine katibu mkuu

Katibu mkuu anatakiwa mtu mwenye shule ya kutosha kichwani"
 
Heche anatoka Kanda ambayo haina nasaba na mwenyekiti, sharti na kigezo Cha Kwanza Cha katibu ni kule. Nadhani umeniewa
 
Back
Top Bottom