John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana, hivi kwanini msiba anaogopwa?
Huyo ningomchoma msumari makalio
Mtu ukiwa msomi sana bas kila kitu unakipeleka kisomi somi hesabu kwa sana!chadeka hatutak watu wa aina hyo aisee!..mfano mm ningekuwa huko juu top..siku ningemvizia Pole pole unalirukisha kichura chura na Musiba wao!unahakiksha hakuna ushahidi!gonga sana ngoko za magoti...!week zima ofisi za ccm anazingalizia wasap[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna changamoto naiona CHADEMA hasa wabunge kuwa na overlapping roles sio nzuri kwa kukuza chama. Natamani mtu akiwa mbunge aachie nafasi zingine zote ili kutoa fursa kwa vijana chipukizi kutoa mchango wao kwenye kujenga chama.

Nakumbuka Mnyika alipokuwa NKM alipotea kabisa jimboni akawa anakesha mikoani kujenga chama ikawa changamoto mno kujigawa majukumu na hta kukosa vikao vya bunge.

Ningependekeza apatikane katibu mkuu ambaye atakuwa yupo ofisini full time iwe Mwalimu/Nyalandu au Dr Marcus n.k ili ajikite kujenga chama sio kuwaza atateteaje jimbo mwakani.

NB: David Silinde ni mmoja kati ya viongozi naowakubali sana CHADEMA ila sielewi kwanini hamumuweki front page. Ana siasa za ki-maturity sana kama sio ubunge angefaa NKM bara.
Huyo Silinde hata Magufuli mwenyewe anamhitaji kwenye serikali yake ijayo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Kigaila huyu!! katoka mbali sana na chama na anaonekana ni CHADEMA damu inatakiwa wamfikirie kwenye hizo nafasi za juu awamu hii.
Kigaila mi namfahamu sana tangu mwaka alowatesa ccm Dodoma ni jembe sana. Nafasi kama ya ukatibu mkuu inahotaji mtu alive na mapenzi mema na CHADEMA full stop masuala ni professor, sijui ni Dr. Na blaa blaa nyingi hazina maana. Ukitaka kuamin hili kuna lichama linaongozwa na madokta lakini wanayoyafanya ni aibu hadi nataman kuhama hii nchi au duniaisimame mi nishuke kabisa. Kwelini aibu sana kukosa hoja hadi unagombana na vitambaa vinavyopepea? Aibu.
 
Back
Top Bottom