John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana, hivi kwanini msiba anaogopwa?
Huyo ningomchoma msumari makalio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Silinde hata Magufuli mwenyewe anamhitaji kwenye serikali yake ijayo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Kigaila huyu!! katoka mbali sana na chama na anaonekana ni CHADEMA damu inatakiwa wamfikirie kwenye hizo nafasi za juu awamu hii.
Kigaila mi namfahamu sana tangu mwaka alowatesa ccm Dodoma ni jembe sana. Nafasi kama ya ukatibu mkuu inahotaji mtu alive na mapenzi mema na CHADEMA full stop masuala ni professor, sijui ni Dr. Na blaa blaa nyingi hazina maana. Ukitaka kuamin hili kuna lichama linaongozwa na madokta lakini wanayoyafanya ni aibu hadi nataman kuhama hii nchi au duniaisimame mi nishuke kabisa. Kwelini aibu sana kukosa hoja hadi unagombana na vitambaa vinavyopepea? Aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…