Kama wananchi hawajapata sababu ya kupinga yasiyofaa, hakuna atakaweza kuwaamsha. Ila wajibu sio wa chama cha siasa tu, ni wangu na wako pia.Chadema inahitaji viongozi wanaoweza kushawishi wananchi kuingia barabarani kudai katiba na sheria nzuri za uchaguzi.
Acha tabia ya kulaumu CHADEMA kwa mambo ambayo na wewe una nafasi ya kucheza nafasi yako..!Haufiki bila Chadema kuwa wakali. Tupo mahali TEC na viongozi wa Kilutheli wanakuwa tishio kwa CCM kuliko Chadema. Siyo sawa.
Sawa tuweke wananchi pembeni. Je wanachama hai wa Chadema?Kama wananchi hawajapata sababu ya kupinga yasiyofaa, hakuna atakaweza kuwaamsha. Ila wajibu sio wa chama cha siasa tu, ni wangu na wako pia.
Kwan ninan umemuajiri awe mpinzani Chief. Unaweza wewe kufanya kile unachohic chadema au ACT wameshindwa Mzee.Viongozi wa Chadema mngeachia ngazi. Ni wazi CCM wanawadharau na hamna cha kuwafanya sababu hamna hata nguvu ya kuitisha maandamano . Hatuwezi kuwa na chama kikuu cha upinzani sifa yake kuu nikulalamika na kuonewa bila kurudisha mapigo kwa mtesi wake.
Huyu Mwenyekiti wa hii kamati ya bunge ni nani maana mpiga picha hata hakuwa anamwonesha sura yake?Video ndefu kabisa / Uncut / unedited video clip. Live Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge alivyokuwa anaingilia uwasilishaji wa maoni
HALI ILIVYOKUWA MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE, KAMANDA MNYIKA AKITOA WASILISHO LA MAONI YA CHADEMA
View: https://m.youtube.com/watch?v=bKf7xpsl0VI
Imezamaje Sasa!CCM ilikuwa inapima maji kwa mti , matokeo yake imezama !
Nchi hizi imeishakuwa ya ya uchakachuaji. Fikiria tuna rais ambaye anajua kuwa hukuchaguliwa na wananchi, tuna wabunge waliopitishwa na mwendawazimu mmoja, hivyo hata yanayotokea Zanzibar kwenye kombe la mapinduzi ni.matikeinya kubwa na jamii ya watu wanoamini na kusimamia uongo na uchakachuaji..Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake.
..Msikilize hapa chini akieleza kilichomtokea alipofika Bungeni.
View: https://www.youtube.com/watch?v=A7tp2deYb-w
Ameshaoa tayari? Maana wanaume walio na wake huwa ni waoga hatari.Mnyika alikuwa zamani kabla hajaanza "kuzingatia"maisha yake
Mnyika JJ mgombea wangu bora kabisa wa urais mwaka 2025! Mnyika anajuaga sana kujieleza!..Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake.
..Msikilize hapa chini akieleza kilichomtokea alipofika Bungeni.
View: https://www.youtube.com/watch?v=A7tp2deYb-w
Ukikua utaelewaImezamaje Sasa!
.CCM ilikuwa inapima maji kwa mti , matokeo yake imezama !
Swali lako linaonesha huelewi concept nzima ya vyama vya siasa na demokrasia. Asante kwa kuchangia kwenye post yangu.Kwan ninan umemuajiri awe mpinzani Chief. Unaweza wewe kufanya kile unachohic chadema au ACT wameshindwa Mzee.
Ni wazo zuri lakini halina mashiko. Sheria zilizopo na wanazojitahidi kuzirekebisha wanataka mabadiliko ya uongozi yafanyikie kupitia vyama vya siasa hawataki hata wagombea binafsi. Sioni haja ya mimi kufanya hiyo kazi wakati kuna nafasi ya kutumi platform ya Chadema kufanya hivyo na inawezakana kama viongozi wa Chadema wakiwachia wengine wenye udhubutu na ari kupambana na CCM. Mtajitahidi kubadilisha hoja lakini viongozi wa Chadema lazima waanze kuulizwa na kujihoji wanakosea wapi hadi inafika CCM hawaogopi uwepo wao wala hawaoni kama wanaweza kuchukua madaraka ya Nchi.Acha tabia ya kulaumu CHADEMA kwa mambo ambayo na wewe una nafasi ya kucheza nafasi yako..!
Mfano, unawataka CHADEMA kuwa wakali. Mimi nasema, na wewe uwe mkali pia..
Na wewe ufanye utaratibu wa kuongoza maandamano ktk eneo lako kutaka mabadiliko (reforms) za kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutawala..
Usiitegemee CHADEMA tu kukuletea mabadiliko unayoyataka. Kila mtu ana wajibu wa kucheza nafasi yake ktk kuleta mabadiliko ktk jamii na nchi hii..!!
Bro mtu akikaa mbele yako kama kiongoz wako nguvu zake ni wewe so kabla hujamlaumu kwa lolote mtu wa kwanza wa kujilaumu ni wewe. Je umefanya mangap ili kufikia hicho unachotaka kifanyike. Wewe kiongoz wa upinzan mkuu anawekwa ndani miez 8 mmekaa kimya unategemea nini. Hili ni tatizo la wananchi sio upinzan. Hapo kenya watu wenyewe ndio wapinzan wa matendo kinzan ya serIkali. Akina raila wanaelekeza tu nini kifanyike watu wanafuata coz wanajua hawana mjomba wa kumlilia. Sasa wewe mwanaume mzima uko nyuma ya laptop unawalaumu watu kwa madhaifu yako shame.Swali lako linaonesha huelewi concept nzima ya vyama vya siasa na demokrasia. Asante kwa kuchangia kwenye post yangu.
Haufiki bila Chadema kuwa wakali. Tupo mahali TEC na viongozi wa Kilutheli wanakuwa tishio kwa CCM kuliko Chadema. Siyo sawa.
Sasa watu wa Serikali wanapata shida gani Kwa sababu Chadema wanaleta maoni ,Sasa maoni si unayaookea na kuyasikiliza harafu Uamzi unabakia ni WA kamati ku damp au kuchukua shida Iko wapi?..Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake.
..Msikilize hapa chini akieleza kilichomtokea alipofika Bungeni.
View: https://www.youtube.com/watch?v=A7tp2deYb-w
Dogo, Mimi Mkubwa sana zaidi yako.Ukikua utaelewa
Kamati fake ile tayari ina maamuzi yake hizi zingine zote ni drama tupu..Hicho ndicho alichokutana nacho Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika alipokwenda Bungeni kuwasilisha mapendekezo ya chama chake.
..Msikilize hapa chini akieleza kilichomtokea alipofika Bungeni.
View: https://www.youtube.com/watch?v=A7tp2deYb-w