Pre GE2025 John Mnyika atiwa msukosuko na Kamati ya Bunge. Nyaraka za mapendekezo yake zakaguliwa kabla ya kuwasilishwa. Baadhi ya nyaraka zimezuiliwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Swali moja wanachama hai wa Chadema walifanya nini Mwenyekiti wao alivyowekwa ndani? Tuweke pembene sisi Wananchi tusiokuwa na kadi ya Chama chochote.
 
Swali moja wanachama hai wa Chadema walifanya nini Mwenyekiti wao alivyowekwa ndani? Tuweke pembene sisi Wananchi tusiokuwa na kadi ya Chama chochote.
Ni uendawazimu kuiona chadema inawasemea wanachama wake na sio wananchi. Na ni ujinga kuamin wanaoandamana Kenya raila anavyoitisha maandamano ni wanachama wa azimio na sio wananchi in general.
 
Ni uendawazimu kuiona chadema inawasemea wanachama wake na sio wananchi. Na ni ujinga kuamin wanaoandamana Kenya raila anavyoitisha maandamano ni wanachama wa azimio na sio wananchi in general.
Swali jepesi unapata taabu kujibu.
Wanachama hai elfu kumi tu wa chadema wakiingia barabarani watapata support ya wananchi. Unafikiri unatuma ujumbe gani kwa wananchi pale wanachama wako wenye ofisi hadi vijijini wanaposhindwa kuratibu maandamano pale Mwenyikiti unapotangaza yafanyike. ODM wanachama wao wanaingia barabarani muda wowote Raila akitangaza maandamano na wananchi wanapata nguvu kutoa support yao.
 
Hii nchi ina vijana wa hovyo sana. Hatima ya nchi unaipa chama. Hiv unavyomuona Hamas anapigana na Israel wale Palestine wa West Bank wamekaa kimya sio. Africa itaendelea cku ikiacha mtu wa kumlaumu juu ya ujinga wake mwenyewe. Kwenye chama kuna radical kuna normal na kuna watu wapo tu kwa ufuasi ila kwenye masuala ya nchi tunaenda front wote. Ukiona unajiondoa kwenye kuleta solutions ujue wewe ni sehem ya tatizo. Eti kwanini chadema wasifanye hiv Kwan we umefanya yapi au ndio kugeuka keyboard worrier's.
 
Hawawezi kurudisha mapigo kwasababu wameaminishwa na viongozi wao kuwa “” Watafika AHERA” bila kufa! Hiyo haiwezekani ; ni lazima ufe kwanza ndio ukafaidi matunda ya mbinguni!
 
Unaongea maneno mengi lakini hutoe jibu kwa swali langu.
 
Hawawezi kurudisha mapigo kwasababu wameaminishwa na viongozi wao kuwa “” Watafika AHERA” bila kufa! Hiyo haiwezekani ; ni lazima ufe kwanza ndio ukafaidi matunda ya mbinguni!
Swadakta. Mbowe na siasa zake za maridhiano dhidi ya majambazi wa CCM.
 
Unaongea maneno mengi lakini hutoe jibu kwa swali langu.
Swali lako linaonyesha udogo wa akili yako. Nyie ndio wale mnaowalaumu wazazi kwa hali zenu za maisha. Nataka nikufungue Chief. Mtu yeyote anaongea kwa kulaumu jua kichwan hamna kitu. Muda hauko upande wetu leta hoja mbadala
 
Upo hapa unalaumu wananchi hawaingia barabarani wakati watu wanaojiita wanasiasa wa upinzani wanashindwa kuratibu wanachama wao hai waliowasajili kidijitali kuingia barabarani. Watu wasio smart na strategic kama nyie mnasubiri chuki za wananchi zifanye kazi zenu wanasiasa. Sikiliza, kwa hoja na mtazamo wako hata Samia anaweza kulalamikia vijana wa hovyo wa Nchi hii kwa kutoleta maendeleo. Si wapo Serikali kuu na kwenye halmashauri, si ni sehemu ya decision making ya Nchi kwanini wanashindwa kuleta maendeleo? Huwezi kutulalamikia sisi wananchi wakati mfumo uliopo kwasasa kazi ya kumuulika na kuwajibisha Chama tawala wamekabidhiwa vyama vya upinzani kama mnataka tufanye sisi wananchi basi tufute hivi vyama vya siasa.
 
Bro mi sio mwanasiasa na cpend siasa kabisa. Ninachokiongelea hapa ni kule watu Kuamin mbowe au zitto ndio atatusemea. Kila mtu katika eneo lake anawajibu wa kufanya hicho unachotaman mzee. Huwez katikat ya vita ukaanza kaz ya kuwalaumu askari mlioko kwenye lengo. Nchi haijengwi na maneno Mzee. What if huo upinzan ni sehem ya CCM huoni utakuwa unajichosha kwa kuwalaumu watu walijipanga namna ya kutuibia.
 
Sasa watu wa Serikali wanapata shida gani Kwa sababu Chadema wanaleta maoni ,Sasa maoni si unayaookea na kuyasikiliza harafu Uamzi unabakia ni WA kamati ku damp au kuchukua shida Iko wapi?
Bado wanaishi na falsafa za awamu ya 5.
 
"What if huo upinzan ni sehem ya CCM ". ndio sababu nasema viongozi wa Chadema waachie ngazi.
 
Huwezi kusema "nyaraka hii" kama alivyosema huyo chizi janja, aidha nyaraka hizi au waraka huu.

Awache porojo nyingi, hayo ni mapendekezo tu kama mapendekezo ya watu wengine.

Yanabaki kuwa ni maoni tu.
 
CCM ni wajinga sana wanadhani watu hawana akili,wao wanataka watu waendelee kuwahi asubuhi kwenye vituo vya kupiga kura ilhali UCHAGUZI ulishaisha au kubakwa,Watanzania bado ni watulivu sana na wao wanasema watanzania wanaipenda CCM basi kama wanaamin hivyo HOFU kubwa kiasi hicho inatoka wapi,CCM ikumbuke kwamba siku watanzania wakichoka kuongea basi mbadala wake ni machafuko.Na ninaamin CCM wako tayari kwa hilo.
 
Huwezi kusema "nyaraka hii" kama alivyosema huyo chizi janja, aidha nyaraka hizi au waraka huu.

Awache porojo nyingi, hayo ni mapendekezo tu kama mapendekezo ya watu wengine.

Yanabaki kuwa ni maoni tu.

..asante kwa kuhimiza matumizi sahihi ya maneno ya Kiswahili.

..nakubaliana na wewe kwamba maoni ya Cdm ni sawa na maoni mengine yoyote kuhusu miswada itakayopelekwa bungeni.

..kwa msingi nadhani haikuwa sahihi kwa Mwenyekiti wa Kamati kumsumbua Mnyika wakati alipokuwa akiwasilisha maoni ya chama chake.

..Sidhani kama kuna muwasilishaji mwingine yeyote aliyesumbuliwa na Mwenyekiti na wenzake kama John Mnyika.

..Yaani 4R za Ssh hazikuzingatiwa na Kamati wa Mnyika anawasilisha.
 
Chadema watateswa sana ktk siasa za Tanzania. Vidume ktk dunia ni Hamas. Anapigana na USA , NATO, ISREAL na bado ngoma ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…