Pre GE2025 John Mnyika atiwa msukosuko na Kamati ya Bunge. Nyaraka za mapendekezo yake zakaguliwa kabla ya kuwasilishwa. Baadhi ya nyaraka zimezuiliwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tofaut yako na nguruwe ni majina tu.
Ubongo mko sawa tu
 
Hivi kweli CHADEMA hawajui njia ya kupasuana ndo imebaki!
Au ni kweli mbowe ni mtoto wa nyerere anafanya inside job!
Iman yangu imebak kwa lisu na mwabukusi.
Heche analindwa na ujasiri asili nambakisha waiting list
 
..CCM ndio wamewashindwa Chadema.

..Hawana uwezo wa kushindana nao kwa hoja.

..siasa ni hoja vs hoja. Na CCM uwezo hawana.
Kwa hiyo ni lini mkuu CHADEMA itaiondoa CCM utawalani kwa hoja?
 
Kwa hiyo ni lini mkuu CHADEMA itaiondoa CCM utawalani kwa hoja?

..hatuwezi kujua Ccm itaondokaje madarakani.

..Na hata ikiondoka sidhani kama tutakubaliana ktk kilichosababisha iondoke.

..kuna wakati nilidhani Jpm hataondoka madarakani, lakini ameondoka.

..kwa wale wenye umri kama wangu kuna wakati tuliamini makaburu wa Afrika kusini, Kanu ya Kenya, Mobutu wa Zaire, etc etc hawataondoka madarakani, lakini wameondoka.

..msimamo wangu kuhusu Haki, Ubinadamu, na Utu, hauwezi kubadilika.
 
CCM ilikuwa inapima maji kwa mti , matokeo yake imezama !
CCM ni wapumbavu sana, wanadhani watatawala nchi hii milele, wanasahau kwamba kizazi kimebadilika. Nakumbuka Lukuvi nae amewahi kuzuia hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu wizara ya mambo ya ndani isisomwe, akiwa Waziri anahusika na Sera Uratibu na Bunge, eti kwa kuwa kulikuwa na maneno ya kuikera serikali.
 
Sasa hivi anakunywa tu ulanzi Isman
 
Chadema imeshakuwa kikundi cha CCM kinachojificha kwenye matamko bila matendo!!.
 
Ni mbwa mwenye mapengo,ukiwaona kwenye mitandao ya kijamii unaweza kusema Yes kitawaka soon 😀😀lakini duuuh General Secretary anasachiwa tu kihuni
 
Hivi kweli CHADEMA hawajui njia ya kupasuana ndo imebaki!
Au ni kweli mbowe ni mtoto wa nyerere anafanya inside job!
Iman yangu imebak kwa lisu na mwabukusi.
Heche analindwa na ujasiri asili nambakisha waiting list
Kweli. Siasa za Mbowe kwa makusudi zinawapa advantage CCM.
 
Ni mbwa mwenye mapengo,ukiwaona kwenye mitandao ya kijamii unaweza kusema Yes kitawaka soon 😀😀lakini duuuh General Secretary anasachiwa tu kihuni
Inashangaza sana. Chama kina command zaidi ya wanachama hai milioni moja halafu kina ruhusu huu upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…