kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Wamuachie nani kama ndio deal zao."What if huo upinzan ni sehem ya CCM ". ndio sababu nasema viongozi wa Chadema waachie ngazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamuachie nani kama ndio deal zao."What if huo upinzan ni sehem ya CCM ". ndio sababu nasema viongozi wa Chadema waachie ngazi.
Tofaut yako na nguruwe ni majina tu.Nenda uingie wewe barabarani siyo kujificha huku JF na fake ID halafu unapiga porojo zako wakati yakiitishwa maandamano unakwenda kujificha chooni . CCM Ndio Tumaini la watanzania na ndio maana wananchi na watanzania wote hawana habari na wapinzani na wala hawawezi kuwasikiliza hata wakiitisha maandamano.
Lissu 2020 aliitisha maandamano huku yeye amajeficha ubalozini kama panya wa ndani huku akiwa na tiketi mkononi kwa ajili ya kwenda ulaya kula Minofu na wakati huo huo watoto wake wana uraia wa marekani.sasa ni nani mwenye akili Timamu anayeweza kuwasikiliza wapinzani wakisema Watanzania waandamane? Hata vichaa na wendawazimu hawawezi kufanya ujinga wa namna hiyo.
Hivi kweli CHADEMA hawajui njia ya kupasuana ndo imebaki!Tatizo ni Chadema. Inashangaza unaponiuliza mimi nimechukua hatua gani wakati siyo mwanasiasa. Hata hivyo ningekuwa Kiongozi Chadema ningeweka nguvu zangu kwa wanachama hai kuliko Watanzania wote. Ningejaribu kuelewa kwanini nina wanachama zaidi ya milioni lakini nikiitisha maandamano watu hata elfu kumi hawafiki. Ningejaribu kuwatumia wanachama wangu chini ya miaka 25 kushambulia na kuhujumu CCM hata kama ikibidi kuingiza mamluki ndani ya CCM na vyombo vya dola. Hivyo vitu vichache tu sababu wanaweza kujifunza mengi kupitia harakati za wapigania Uhuru wa nchi za SADC walivyokuwa wanapambana na wakoloni lakini nisingepoteza muda wangu kuendekeza victimhood mentality ndani ya ranks zangu bali ningeweka nguvu kupanda mbegu ya jeuri na imani ya kudai na kuchukua nchi kwa wanachama wangu. Ifike mahali mwananchi akimuona mwanachama wa Chadema bila kusita aamini anataka kuchukua madaraka ya Nchi na siyo tu kusindikiza CCM kwenye siasa. Imani mtakayojenga kwa wanachama wenu itahama kwa wananchi kama upepo.
Kwa hiyo ni lini mkuu CHADEMA itaiondoa CCM utawalani kwa hoja?..CCM ndio wamewashindwa Chadema.
..Hawana uwezo wa kushindana nao kwa hoja.
..siasa ni hoja vs hoja. Na CCM uwezo hawana.
Kwa hiyo ni lini mkuu CHADEMA itaiondoa CCM utawalani kwa hoja?
CCM ni wapumbavu sana, wanadhani watatawala nchi hii milele, wanasahau kwamba kizazi kimebadilika. Nakumbuka Lukuvi nae amewahi kuzuia hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu wizara ya mambo ya ndani isisomwe, akiwa Waziri anahusika na Sera Uratibu na Bunge, eti kwa kuwa kulikuwa na maneno ya kuikera serikali.CCM ilikuwa inapima maji kwa mti , matokeo yake imezama !
Sasa hivi anakunywa tu ulanzi IsmanCCM ni wapumbavu sana, wanadhani watatawala nchi hii milele, wanasahau kwamba kiazi kimebadilika. Nakumbuka Lukuvi nae amewahi kuzuia hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu wizara ya mambo ya ndani isisomwe, akiwa Wziri anahusika na Sera Uratibu na Bunge, eti kwa kuwa kulikuwa na maneno ya kuikera serikali.
Ni mbwa mwenye mapengo,ukiwaona kwenye mitandao ya kijamii unaweza kusema Yes kitawaka soon 😀😀lakini duuuh General Secretary anasachiwa tu kihuniViongozi wa Chadema mngeachia ngazi. Ni wazi CCM wanawadharau na hamna cha kuwafanya sababu hamna hata nguvu ya kuitisha maandamano . Hatuwezi kuwa na chama kikuu cha upinzani sifa yake kuu nikulalamika na kuonewa bila kurudisha mapigo kwa mtesi wake.
Unapoteza haki yako mkuu ya kuchagua au kuchaguliwaKwa stahili hii,siku za uchaguzi nitakuwa nafanya shughuli zangu binafsi!
Wataachia. Ukiendekeza rushwa na uzembe kazini, utaumbuka tu.Wamuachie nani kama ndio deal zao.
Kweli. Siasa za Mbowe kwa makusudi zinawapa advantage CCM.Hivi kweli CHADEMA hawajui njia ya kupasuana ndo imebaki!
Au ni kweli mbowe ni mtoto wa nyerere anafanya inside job!
Iman yangu imebak kwa lisu na mwabukusi.
Heche analindwa na ujasiri asili nambakisha waiting list
Inashangaza sana. Chama kina command zaidi ya wanachama hai milioni moja halafu kina ruhusu huu upuuzi.Ni mbwa mwenye mapengo,ukiwaona kwenye mitandao ya kijamii unaweza kusema Yes kitawaka soon 😀😀lakini duuuh General Secretary anasachiwa tu kihuni