Pre GE2025 John Mnyika atiwa msukosuko na Kamati ya Bunge. Nyaraka za mapendekezo yake zakaguliwa kabla ya kuwasilishwa. Baadhi ya nyaraka zimezuiliwa!

Pre GE2025 John Mnyika atiwa msukosuko na Kamati ya Bunge. Nyaraka za mapendekezo yake zakaguliwa kabla ya kuwasilishwa. Baadhi ya nyaraka zimezuiliwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nenda uingie wewe barabarani siyo kujificha huku JF na fake ID halafu unapiga porojo zako wakati yakiitishwa maandamano unakwenda kujificha chooni . CCM Ndio Tumaini la watanzania na ndio maana wananchi na watanzania wote hawana habari na wapinzani na wala hawawezi kuwasikiliza hata wakiitisha maandamano.

Lissu 2020 aliitisha maandamano huku yeye amajeficha ubalozini kama panya wa ndani huku akiwa na tiketi mkononi kwa ajili ya kwenda ulaya kula Minofu na wakati huo huo watoto wake wana uraia wa marekani.sasa ni nani mwenye akili Timamu anayeweza kuwasikiliza wapinzani wakisema Watanzania waandamane? Hata vichaa na wendawazimu hawawezi kufanya ujinga wa namna hiyo.
Tofaut yako na nguruwe ni majina tu.
Ubongo mko sawa tu
 
Tatizo ni Chadema. Inashangaza unaponiuliza mimi nimechukua hatua gani wakati siyo mwanasiasa. Hata hivyo ningekuwa Kiongozi Chadema ningeweka nguvu zangu kwa wanachama hai kuliko Watanzania wote. Ningejaribu kuelewa kwanini nina wanachama zaidi ya milioni lakini nikiitisha maandamano watu hata elfu kumi hawafiki. Ningejaribu kuwatumia wanachama wangu chini ya miaka 25 kushambulia na kuhujumu CCM hata kama ikibidi kuingiza mamluki ndani ya CCM na vyombo vya dola. Hivyo vitu vichache tu sababu wanaweza kujifunza mengi kupitia harakati za wapigania Uhuru wa nchi za SADC walivyokuwa wanapambana na wakoloni lakini nisingepoteza muda wangu kuendekeza victimhood mentality ndani ya ranks zangu bali ningeweka nguvu kupanda mbegu ya jeuri na imani ya kudai na kuchukua nchi kwa wanachama wangu. Ifike mahali mwananchi akimuona mwanachama wa Chadema bila kusita aamini anataka kuchukua madaraka ya Nchi na siyo tu kusindikiza CCM kwenye siasa. Imani mtakayojenga kwa wanachama wenu itahama kwa wananchi kama upepo.
Hivi kweli CHADEMA hawajui njia ya kupasuana ndo imebaki!
Au ni kweli mbowe ni mtoto wa nyerere anafanya inside job!
Iman yangu imebak kwa lisu na mwabukusi.
Heche analindwa na ujasiri asili nambakisha waiting list
 
..CCM ndio wamewashindwa Chadema.

..Hawana uwezo wa kushindana nao kwa hoja.

..siasa ni hoja vs hoja. Na CCM uwezo hawana.
Kwa hiyo ni lini mkuu CHADEMA itaiondoa CCM utawalani kwa hoja?
 
Kwa hiyo ni lini mkuu CHADEMA itaiondoa CCM utawalani kwa hoja?

..hatuwezi kujua Ccm itaondokaje madarakani.

..Na hata ikiondoka sidhani kama tutakubaliana ktk kilichosababisha iondoke.

..kuna wakati nilidhani Jpm hataondoka madarakani, lakini ameondoka.

..kwa wale wenye umri kama wangu kuna wakati tuliamini makaburu wa Afrika kusini, Kanu ya Kenya, Mobutu wa Zaire, etc etc hawataondoka madarakani, lakini wameondoka.

..msimamo wangu kuhusu Haki, Ubinadamu, na Utu, hauwezi kubadilika.
 
CCM ilikuwa inapima maji kwa mti , matokeo yake imezama !
CCM ni wapumbavu sana, wanadhani watatawala nchi hii milele, wanasahau kwamba kizazi kimebadilika. Nakumbuka Lukuvi nae amewahi kuzuia hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu wizara ya mambo ya ndani isisomwe, akiwa Waziri anahusika na Sera Uratibu na Bunge, eti kwa kuwa kulikuwa na maneno ya kuikera serikali.
 
CCM ni wapumbavu sana, wanadhani watatawala nchi hii milele, wanasahau kwamba kiazi kimebadilika. Nakumbuka Lukuvi nae amewahi kuzuia hotuba ya kambi ya upinzani kuhusu wizara ya mambo ya ndani isisomwe, akiwa Wziri anahusika na Sera Uratibu na Bunge, eti kwa kuwa kulikuwa na maneno ya kuikera serikali.
Sasa hivi anakunywa tu ulanzi Isman
 
Chadema imeshakuwa kikundi cha CCM kinachojificha kwenye matamko bila matendo!!.
 
Viongozi wa Chadema mngeachia ngazi. Ni wazi CCM wanawadharau na hamna cha kuwafanya sababu hamna hata nguvu ya kuitisha maandamano . Hatuwezi kuwa na chama kikuu cha upinzani sifa yake kuu nikulalamika na kuonewa bila kurudisha mapigo kwa mtesi wake.
Ni mbwa mwenye mapengo,ukiwaona kwenye mitandao ya kijamii unaweza kusema Yes kitawaka soon 😀😀lakini duuuh General Secretary anasachiwa tu kihuni
 
Hivi kweli CHADEMA hawajui njia ya kupasuana ndo imebaki!
Au ni kweli mbowe ni mtoto wa nyerere anafanya inside job!
Iman yangu imebak kwa lisu na mwabukusi.
Heche analindwa na ujasiri asili nambakisha waiting list
Kweli. Siasa za Mbowe kwa makusudi zinawapa advantage CCM.
 
Ni mbwa mwenye mapengo,ukiwaona kwenye mitandao ya kijamii unaweza kusema Yes kitawaka soon 😀😀lakini duuuh General Secretary anasachiwa tu kihuni
Inashangaza sana. Chama kina command zaidi ya wanachama hai milioni moja halafu kina ruhusu huu upuuzi.
 
Back
Top Bottom