Alikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko. https://t.co/h5leYzzvOIView attachment 2093842
Baada ya kupigwa permanent Ban kwenye ID yako nyingine ya kamanda asiyechoka naona sasa umeanza na hii yako uchwara kushadadia mambo ya ChademaKatibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko. https://t.co/h5leYzzvOIView attachment 2093842
Wee endelea tu. Huoni Sasa hivi ulivyokua muoga baada ya kukuchimbia mkwara mazito humu jamvin hadi unachamba wima. Tunakulia taiming tu ole wako sasa uiname au uchuchumae.Stupid body is always stupid.
Tunaheshimu mawazo yako dada mkubwa.Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk
Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Zimeingia maana chadema mlifurahia kifo cha jpm mkasema Mungu fundiHabari za JPM zimeingia vipi? Acha ujinga.
Rip Sarah.Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko. https://t.co/h5leYzzvOIView attachment 2093842
Unataka kumweka dyudyu???Wee endelea tu. Huoni Sasa hivi ulivyokua muoga baada ya kukuchimbia mkwara mazito humu jamvin hadi unachamba wima. Tunakulia taiming tu ole wako sasa uiname au uchuchumae.
Huwezi kumfananisha shetani aliyepoteza watanzania wenzetu na huyu dada who we celebrates her life hapa duniani,she did not hurt even a fly,jiulize Ben Saanane yupo wapi?Alikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!
Kwa hiyo ndo mnavyojidanganya hapo CHADEMA nyinyi ndo wema sana! Wapuuzi nyie!Huwezi kumfananisha shetani aliyepoteza watanzania wenzetu na huyu dada who we celebrates her life hapa duniani,she did not hurt even a fly,jiulize Ben Saanane yupo wapi?
Liache hili lipite, tusichanganye kilio na siasa utakosa ushindi.Alikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!
Hawa wapumbavu kuna uwezekano hata huyo dada alishangilia Magufuli kufariki akidhani yeye ni mwema sana! Jifunzeni utu wema! Mnakera sana!Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko. https://t.co/h5leYzzvOIView attachment 2093842
Wewe mtu wa hovyo kabisa unapoleta matusi kwenye msiba. Let us be more serious about what has happened. Likipita mnaweza rudia malumbano yenu ya kisiasa na chuki hata msibani.Kwa hiyo ndo mnavyojidanganya hapo CHADEMA nyinyi ndo wema sana! Wapuuzi nyie!