John Mnyika awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa kada wa CHADEMA, Sarah Alex

Wewe upo njiani! Mwana Mungu huadhibu kwa wakati wake! Mimi sishabikii watu kufariki ila napinga sana mjinga yeyote kushangilia kifo cha mwenzake! Unamwita Magufuli shetani wewe hapo ulipo ni msafi? Nakwambia tengeneza njia zako!
Huwezi kumfananisha shetani aliyepoteza watanzania wenzetu na huyu dada who we celebrates her life hapa duniani,she did not hurt even a fly,jiulize Ben Saanane yupo wapi?
 
Poleni sana wana CHADEMA kwa msiba mzito. Mwenyezi Mungu amjaalie pumziko la amani
 
Wewe mtu wa hovyo kabisa unapoleta matusi kwenye msiba. Let us be more serious about what has happened. Likipita mnaweza rudia malumbano yenu ya kisiasa na chuki hata msibani.
Mimi sijawahi kuwa mtu wa ovyo! Nyinyi mlisema Mungu fundi! Vipi kwa Sarah Mungu yule yule mliyemaanisha ni fundi? Hekima ni kitu kikubwa sana! Jifunzeni sana ubinadamu! Amefariki mzee Baregu na watu wengi! Badala ya kuona kifo ni njia ya kwenda kwa muumba mnaifanya ni sehemu ya adhabu kwa waovu huku mkitaja jina la JPM! Vipi watoto wadogo wanaofariki huwa wamekosea nini? Ujinga huu lazima muukomeshe hapo mitaa ya ufipa!
 
  • Thanks
Reactions: tyc

Usilipe maovu kwa maovu siku zote be good, people will identify you kwa mema.
 
Nakwambia hapa ninataka kuwakumbusha hawa vijana wa CHADEMA wawe na kikomo cha maneno machafu! Waliumiza watu sana kipindi cha msiba wa JPM! Ukikosa ubinadamu unakuwa sawa na mbwa! Ndio maana hadi leo wengine wanamwita JPM mwenda kuzimu! Je wao ni wema? Hata Mod hahangaiki nao ila ukiongea ambayo yeye Mod hataki kuyasikia unapigwa ban!
 
Wewe upo njiani! Mwana Mungu huadhibu kwa wakati wake! Mimi sishabikii watu kufariki ila napinga sana mjinga yeyote kushangilia kifo cha mwenzake! Unamwita Magufuli shetani wewe hapo ulipo ni msafi? Nakwambia ma
Ninaishi maisha yasiyo na unafiki au uoga and always i say as its,sina tabia ya sugar coat maneno,President Magufuri kwangu ndio kama nilivyomtamka,damu nyingi mno ya wenzetu zimemwagika kipindi chake.
Wewe upo njiani! Mwana Mungu huadhibu kwa wakati wake! Mimi sishabikii watu kufariki ila napinga sana mjinga yeyote kushangilia kifo cha mwenzake! Unamwita Magufuli shetani wewe hapo ulipo ni msafi? Nakwambia tengeneza njia zako!
 
Ninaishi maisha yasiyo na unafiki au uoga and always i say as its,sina tabia ya sugar coat maneno,President Magufuri kwangu ndio kama nilivyomtamka,damu nyingi mno ya wenzetu zimemwagika kipindi chake.
Wataje hao watu! Je wewe uko msafi? Unaweza kukuta ni mwizi,mzinzi na muongo kama unavyotunga uongo hapa!
 
Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk

Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Basi Mpeni nyie ukatibu katika chama chenu
 
Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko.

View attachment 2093842
Mungu ibariki Chadema
 
Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk

Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Dr Slaa yuko ccm sasa hivi , mtampa nafasi ya Chongolo ?
 
Alikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!
Kamanda ametwaliwa kwa pumziko la milele acha mambo ya ajabu.
 
Hawa wapumbavu kuna uwezekano hata huyo dada alishangilia Magufuli kufariki akidhani yeye ni mwema sana! Jifunzeni utu wema! Mnakera sana!
Vipi kama umemmis Magufuli shetani mwenzako si uende Chato ukalie kwenye kaburi.

Tatizo siyo kufa, tatizo ukifa unakwenda wapi? Matendo yako kipindi cha uhai wako moja kwa moja yanakupeleka Jehenamu kama alipo huyo marehemu wako mpenzi.
 
Nakwambia hapa ninataka kuwakumbusha hawa vijana wa CHADEMA wawe na kikomo cha maneno machafu! Waliumiza watu sana kipindi cha msiba wa JPM! Ukikosa ubinadamu unakuwa sawa na mbwa! Ndio maana hadi leo wengine wanamwita JPM mwenda kuzimu! Je wao ni wema? Hata Mod hahangaiki nao ila ukiongea ambayo yeye Mod hataki kuyasikia unapigwa ban!

..wanatukana kwasababu wanaamini Jpm aliwatendea uovu.

..Na walikuwa wanatukana hata wakati Jpm yuko hai.

..kama huyu marehemu Sarah Alex alikutendea jambo baya au uovu basi unayo haki ya kufunguka na asitokee mtu wa kukupangia jinsi ya ku-deal na kifo chake.

..kuna watu wengi walidhulumiwa wakati Jpm akiwa madarakani, na hawajapata haki zao.
 
Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk

Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Ndio maana akanunulika kama Ngombe mnadani
 
Back
Top Bottom