John Mnyika awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa kada wa CHADEMA, Sarah Alex

John Mnyika awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa kada wa CHADEMA, Sarah Alex

Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk

Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Kwani huyo Dr. Slaa mwenye akili sasa hivi yuko wapi? Yaani mtu yuko CCM halafu unasema ana akili! Tangu lini mwanaCCM akawa na akili yake?
 
Alikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!
Chadema inahusikaje kwenye mawazo binafsi ya watu?.Nakwambia tu kua wako wanaccm waliofuraia kifo cha huyo mzee ila hayo kwa mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kuyahusisha na chama.So punguza stress ndugu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Vipi kama umemmis Magufuli shetani mwenzako si uende Chato ukalie kwenye kaburi.

Tatizo siyo kufa, tatizo ukifa unakwenda wapi? Matendo yako kipindi cha uhai wako moja kwa moja yanakupeleka Jehenamu kama alipo huyo marehemu wako mpenzi.
Kwa hiyo wewe ndo unapanga watu pa kwenda? Hujui kuwa usihukumu usije ukahukumiwa! Mlivyo mataahira ndo mnajua kuwa nyinyi CHADEMA ndo wema! Hata mwenyekitu wenu ashutuma kibao za mauaji ikiwa ni pamoja na Chacha Wangwe,Pia ametafuma ruzuku miaka yote na kuwaacha mataahira hamjielewi!
 
Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk

Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Baba yako, mama yako,mmeo, madanga yako na watoto wako wote ukijumlisha akili zenu haziwezi fikia hata robo ya J.J. Mnyika.
 
Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk

Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Wewe hiyo kazi yakupanga madaraja ya makatibu wakuu wa chadema umepewa nanani?.au unashoboka na kazi za watu zisizokuhusu.hopeless kabisa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Vipi kama umemmis Magufuli shetani mwenzako si uende Chato ukalie kwenye kaburi.

Tatizo siyo kufa, tatizo ukifa unakwenda wapi? Matendo yako kipindi cha uhai wako moja kwa moja yanakupeleka Jehenamu kama alipo huyo marehemu wako mpenzi.
Kwa hiyo wewe ndo unatiketi mkononi ya kwenda kwa Mungu? Wewe na upumbavu wote huu wakuhukumu wenzako unauhakikia wa hatima yako?
 
Dr Slaa yuko ccm sasa hivi , mtampa nafasi ya Chongolo ?
CCM tulimchukua baada ya kuona kuwa ni potential Ila Chadema mkachukua fisadi Lowasa huyu Slaa angekuwa kijana hata kesho ningependekeza Slaa awe katibu mkuu wa CCM

CCM MTU pekee aliyekuwa anatupa wakati mgumu kutoka upinzani ni Slaa tu alikuwa hatukani mtu Ila tukisikia anaitisha kesho press conference tulikuwa hatulali roho juu tunajua kesho akimaliza tu nchi italipuka kwa kuwa wanachi wakuwemo serikalini watahua alikuwa na takwimu za uhakika za ndani kiasi kuwa press conference yake tuliigopa

Mnyika au Chadema hii ya sasa hata waseme kesho kuna press conference kabambe naenda kulala hata sasa hivi najua haina impact yeyote

Kipindi cha Slaa tulikuwa tunakesha usiku kucha kujibu hoja mitandaoni sio sasa
 
Wewe hiyo kazi yakupanga madaraja ya makatibu wakuu wa chadema umepewa nanani?.au unashoboka na kazi za watu zisizokuhusu.hopeless kabisa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nawaambia mtavuna mlicho panda wapuuzi nyie! Eti Mungu fundi kwenu Mungu sio fundi? you show how stupid your!
 
Huwa nikiona jinsi chadema wanavyoshangalia kifo cha mwana Ccm huwa najiuliza maswali mengi likiweno
Inamaan wanaokufa wote ni Ccm tu chadema wao hawafi lakini nashangaa huyu dada aliefariki alikuwa ni mwanachadema tena kindakindaki
Najifunza kuwa kifo hakichagui ulitenda mambo gani hapa dunian either mabaya au mazuri pia akichagui wewe ulikuwa chama gani kifo ni haki ya kila mtu
RIP mwendazake Sara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ibariki Chadema

Ile kauli ya Mungu fundi inaruhusiwa kutumika hapa au
Apumzike kwa amani

Ifike hatua mjifunze kuacha kauli za kipumbavu na kipuuzi

Wewe ni mmoja ya watu ulipokuwa ukishadadia kauli ya 'MUNGU fundi' enzi ya msiba wa Magufuli

Sasa leo yanatokea kwa binti kijana ndani ya Chadema, je nae ni muovu ndio maana katwaliwa mapema mapema!???

Tujifunze kuwa wenye Hekima na Busara ktk nyakati zote
 
Alikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!
Ahahahahah! Kwakuwa ni MwanaChadema na ana roho safi isiyo ya kisokorokwinyo, bila shaka amefariki akiwa na miaka 1000! Ahahahahahaha!!!
 
Alikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!
Pole ushafikia hatua ya kumlinganisha Sarah na Magufuli,Maraisi kufia madarakani sio jambo rahisi
 
Ile kauli ya Mungu fundi inaruhusiwa kutumika hapa au

Ifike hatua mjifunze kuacha kauli za kipumbavu na kipuuzi

Wewe ni mmoja ya watu ulipokuwa ukishadadia kauli ya 'MUNGU fundi' enzi ya msiba wa Magufuli

Sasa leo yanatokea kwa binti kijana ndani ya Chadema, je nae ni muovu ndio maana katwaliwa mapema mapema!???

Tujifunze kuwa wenye Hekima na Busara ktk nyakati zote
Unatia aibu bila sababu !
 
Back
Top Bottom