Huwezi kumfananisha shetani aliyepoteza watanzania wenzetu na huyu dada who we celebrates her life hapa duniani,she did not hurt even a fly,jiulize Ben Saanane yupo wapi?
Mimi sijawahi kuwa mtu wa ovyo! Nyinyi mlisema Mungu fundi! Vipi kwa Sarah Mungu yule yule mliyemaanisha ni fundi? Hekima ni kitu kikubwa sana! Jifunzeni sana ubinadamu! Amefariki mzee Baregu na watu wengi! Badala ya kuona kifo ni njia ya kwenda kwa muumba mnaifanya ni sehemu ya adhabu kwa waovu huku mkitaja jina la JPM! Vipi watoto wadogo wanaofariki huwa wamekosea nini? Ujinga huu lazima muukomeshe hapo mitaa ya ufipa!Wewe mtu wa hovyo kabisa unapoleta matusi kwenye msiba. Let us be more serious about what has happened. Likipita mnaweza rudia malumbano yenu ya kisiasa na chuki hata msibani.
Usilipe maovu kwa maovu siku zote be good, people will identify you kwa mema.Mimi sijawahi kuwa mtu wa ovyo! Nyinyi mlisema Mungu fundi! Vipi kwa Sarah Mungu yule yule mliyemaanisha ni fundi? Hekima ni kitu kikubwa sana! Jifunzeni sana ubinadamu! Amefariki mzee Baregu na watu wengi! Badala ya kuona kifo ni njia ya kwenda kwa muumba mnaifanya ni sehemu ya adhabu kwa waovu huku mkitaja jina la JPM! Vipi watoto wadogo wanaofariki huwa wamekosea nini? Ujinga huu lazima muukomeshe hapo mitaa ya ufipa!
Nakwambia hapa ninataka kuwakumbusha hawa vijana wa CHADEMA wawe na kikomo cha maneno machafu! Waliumiza watu sana kipindi cha msiba wa JPM! Ukikosa ubinadamu unakuwa sawa na mbwa! Ndio maana hadi leo wengine wanamwita JPM mwenda kuzimu! Je wao ni wema? Hata Mod hahangaiki nao ila ukiongea ambayo yeye Mod hataki kuyasikia unapigwa ban!Usilipe maovu kwa maovu siku zote be good, people will identify you kwa mema.
Apumzike kwa amaniKatibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko. https://t.co/h5leYzzvOIView attachment 2093842
Ninaishi maisha yasiyo na unafiki au uoga and always i say as its,sina tabia ya sugar coat maneno,President Magufuri kwangu ndio kama nilivyomtamka,damu nyingi mno ya wenzetu zimemwagika kipindi chake.Wewe upo njiani! Mwana Mungu huadhibu kwa wakati wake! Mimi sishabikii watu kufariki ila napinga sana mjinga yeyote kushangilia kifo cha mwenzake! Unamwita Magufuli shetani wewe hapo ulipo ni msafi? Nakwambia ma
Wewe upo njiani! Mwana Mungu huadhibu kwa wakati wake! Mimi sishabikii watu kufariki ila napinga sana mjinga yeyote kushangilia kifo cha mwenzake! Unamwita Magufuli shetani wewe hapo ulipo ni msafi? Nakwambia tengeneza njia zako!
Wataje hao watu! Je wewe uko msafi? Unaweza kukuta ni mwizi,mzinzi na muongo kama unavyotunga uongo hapa!Ninaishi maisha yasiyo na unafiki au uoga and always i say as its,sina tabia ya sugar coat maneno,President Magufuri kwangu ndio kama nilivyomtamka,damu nyingi mno ya wenzetu zimemwagika kipindi chake.
Basi Mpeni nyie ukatibu katika chama chenuKatibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk
Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Mungu ibariki ChademaKatibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko.
View attachment 2093842
Dr Slaa yuko ccm sasa hivi , mtampa nafasi ya Chongolo ?Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk
Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Kamanda ametwaliwa kwa pumziko la milele acha mambo ya ajabu.Alikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!
AhaaaaZimeingia maana chadema mlifurahia kifo cha jpm mkasema Mungu fundi
Vipi kama umemmis Magufuli shetani mwenzako si uende Chato ukalie kwenye kaburi.Hawa wapumbavu kuna uwezekano hata huyo dada alishangilia Magufuli kufariki akidhani yeye ni mwema sana! Jifunzeni utu wema! Mnakera sana!
Nakwambia hapa ninataka kuwakumbusha hawa vijana wa CHADEMA wawe na kikomo cha maneno machafu! Waliumiza watu sana kipindi cha msiba wa JPM! Ukikosa ubinadamu unakuwa sawa na mbwa! Ndio maana hadi leo wengine wanamwita JPM mwenda kuzimu! Je wao ni wema? Hata Mod hahangaiki nao ila ukiongea ambayo yeye Mod hataki kuyasikia unapigwa ban!
Ndio maana akanunulika kama Ngombe mnadaniKatibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk
Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani