Kwani huyo Dr. Slaa mwenye akili sasa hivi yuko wapi? Yaani mtu yuko CCM halafu unasema ana akili! Tangu lini mwanaCCM akawa na akili yake?Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk
Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Chadema inahusikaje kwenye mawazo binafsi ya watu?.Nakwambia tu kua wako wanaccm waliofuraia kifo cha huyo mzee ila hayo kwa mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kuyahusisha na chama.So punguza stress ndugu.Alikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!
Kwa hiyo wewe ndo unapanga watu pa kwenda? Hujui kuwa usihukumu usije ukahukumiwa! Mlivyo mataahira ndo mnajua kuwa nyinyi CHADEMA ndo wema! Hata mwenyekitu wenu ashutuma kibao za mauaji ikiwa ni pamoja na Chacha Wangwe,Pia ametafuma ruzuku miaka yote na kuwaacha mataahira hamjielewi!Vipi kama umemmis Magufuli shetani mwenzako si uende Chato ukalie kwenye kaburi.
Tatizo siyo kufa, tatizo ukifa unakwenda wapi? Matendo yako kipindi cha uhai wako moja kwa moja yanakupeleka Jehenamu kama alipo huyo marehemu wako mpenzi.
Baba yako, mama yako,mmeo, madanga yako na watoto wako wote ukijumlisha akili zenu haziwezi fikia hata robo ya J.J. Mnyika.Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk
Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Wewe hiyo kazi yakupanga madaraja ya makatibu wakuu wa chadema umepewa nanani?.au unashoboka na kazi za watu zisizokuhusu.hopeless kabisa.Katibu mkuu pekee wa Chadema aliyekuwa anajua wajibu wake na utendaji no Dk Slaaa pekee wenginge wote hopeless akiwemo mashinji ,mnyika nk
Wacha mnyika awe tu mhudhuria mazishi hana kitu kichwani
Kwa hiyo wewe ndo unatiketi mkononi ya kwenda kwa Mungu? Wewe na upumbavu wote huu wakuhukumu wenzako unauhakikia wa hatima yako?Vipi kama umemmis Magufuli shetani mwenzako si uende Chato ukalie kwenye kaburi.
Tatizo siyo kufa, tatizo ukifa unakwenda wapi? Matendo yako kipindi cha uhai wako moja kwa moja yanakupeleka Jehenamu kama alipo huyo marehemu wako mpenzi.
CCM tulimchukua baada ya kuona kuwa ni potential Ila Chadema mkachukua fisadi Lowasa huyu Slaa angekuwa kijana hata kesho ningependekeza Slaa awe katibu mkuu wa CCMDr Slaa yuko ccm sasa hivi , mtampa nafasi ya Chongolo ?
Nawaambia mtavuna mlicho panda wapuuzi nyie! Eti Mungu fundi kwenu Mungu sio fundi? you show how stupid your!Wewe hiyo kazi yakupanga madaraja ya makatibu wakuu wa chadema umepewa nanani?.au unashoboka na kazi za watu zisizokuhusu.hopeless kabisa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mungu ibariki Chadema
Apumzike kwa amani
Ahahahahah! Kwakuwa ni MwanaChadema na ana roho safi isiyo ya kisokorokwinyo, bila shaka amefariki akiwa na miaka 1000! Ahahahahahaha!!!Alikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!
Pole ushafikia hatua ya kumlinganisha Sarah na Magufuli,Maraisi kufia madarakani sio jambo rahisiAlikiwa na umri gani? Maana CHADEMA walisema JPM alifariki kwa kuwa alikuwa muovu! Poleni ila punguzeni ujinga hapo CHADEMA!
Unatia aibu bila sababu !Ile kauli ya Mungu fundi inaruhusiwa kutumika hapa au
Ifike hatua mjifunze kuacha kauli za kipumbavu na kipuuzi
Wewe ni mmoja ya watu ulipokuwa ukishadadia kauli ya 'MUNGU fundi' enzi ya msiba wa Magufuli
Sasa leo yanatokea kwa binti kijana ndani ya Chadema, je nae ni muovu ndio maana katwaliwa mapema mapema!???
Tujifunze kuwa wenye Hekima na Busara ktk nyakati zote
We nae nyumbu sasa hapo anatia aibu gani wacha muambiwe ukwel kifo hakichagui mzee wala kijanaUnatia aibu bila sababu !