Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Rudia kuisoma tena hii hoja yako labda utaielewa.
 
Hasira za nini nenda wewe
 
Wabinafsi ni wale waliotumia dola kujitangazia ushindi na kupora haki za wengine kwa manufaa yao.
 
CDM ndio mnazidi kupotea hamtaki kuwapa haki wadada wa CDM kupata viti maalumu kisa Mbowe amekosa ubunge

Hiki chama kina ubinafsi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…