mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Hamna linalo shindikana hapa Tz Rais na chama tawala wakitaka katiba sio lolote katika utawaala wa JPM, hakujuwa madhara ya alichotenda, kwenye uchaguziKwa mazingira yaliyopo CHADEMA haiwezi kupata viti maalum hata mmoja, kwasababu hawajakidhi viwango vinavyotakiwa, wana mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa jimboni, hii ni sawa na Zitto alivyokuwa anawakilisha chama chake bungeni, alikuwa peke yake, hakuwa na viti maalum hata mmoja wa chama chake.
Hivyo, kutokana na mazingira hayo, CHADEMA kupata viti maalum haiwezekani kisheria, na kama watapata basi lazima itakuwa na kwa makubaliano maalum na CCM, hao watakaoteuliwa kwenye hizo nafasi wajiandae kujibu maswali.
Unapenda kuandika vitu vya ajabu!.Chadema imegeuka kutoka kuwa chama cha siasa kuwa kikundi cha wasanii, madalali na vibaraka
Ukiangalia sana walichokifanya kwenye uchaguzi huu utaona kabisa kwamba Walijua hawawezi kushinda uchaguzi ndio maana hawakutaka kutumia pesa nyingi kwenye kampeni wala kwa mawakala; ila walijipanga kuleta vurugu kwa kujitangazia ushindi kwa Ile utaratibu wao ambao nao ulishindikana... au kuingiza watu barabarani ili wapate msaada wa wale mabwana ambacho nacho kimeshindikana
Ndio maana nikasema, hao wabunge watakaoitwa "viti maalum wa Chadema" kama watateuliwa, watakuwa na maswali ya kujibu.Hamna linalo shindikana hapa Tz Raisi na chama tawala wakitaka katiba sio lolote katika utawaala wa JPM, hakujuwa madhara ya alichotenda, kwenye uchaguzi
Hilo la mahakamani nalo linaweza kuwa mojawapo ya ajenda za kikao cha kamati kuu kama watakutana.,,hivi ww kama una ushahidi wa wizi huo kwann usiende mahakaman? Unapiga kelele huku jukwaani ?
Kosa la kugush saini ni kosa la jinai lisilo na dhamana na ni miongoni kwa makosa ya uhujumu uchumi
Huyo katibu wa NEC si hata matokeo aligushi?
Hakuna anaeteseka, huo ni utaratibu wa kisheria acheni kudanganya watu. Majina ya Viti Maalum yalishapelekwa toka mchakato wa uteuzi wa ndani ya vyama ulivyokamilika. Halikadhalika, kama Tume itateua bado mnaweza kutotoa ushirikiano kwa hao wabunge wenu kutokwenda kula kiapo cha kuwa wabunge. Sasa sijui hizi drama za mitandaoni ni za nini?Tukiwarushiwa ndizi na wazungu ni halali yetu.
Walifanya maamuzi ya kijinga kupora uchaguzi sasa wanaanza kuteseka.
Wabaki wenyewe kwenye hilo Bunge lao la chama kimoja(Bunge la Ma-CCM) lifanye kazi ya kusifu,kutukuza na kupongeza.
Kwa mazingira yaliyopo Chadema haiwezi kupata viti maalum hata mmoja, kwasababu hawajakidhi viwango vinavyotakiwa, wana mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa jimboni, hii ni sawa na Zitto alivyokuwa anawakilisha chama chake bungeni, alikuwa peke yake, hakuwa na viti maalum hata mmoja wa chama chake.
Hivyo, kutokana na mazingira hayo, Chadema kupata viti maalum haiwezekani kisheria, na kama watapata basi lazima itakuwa ni kwa makubaliano maalum na CCM, hao watakaoteuliwa kwenye hizo nafasi wajiandae kujibu maswali.
Idadi ya kura za urais ni kwaajili ya ruzuku pekee.
Halafu wanaona alichofanya ni sahihi hasemwi maana ni mungu-mtuAliyeharibu ladha ya siasa na kutufikisha hapa tulipo ni Mvurugaji Mmoja tu. Yeye ndiye anaewahangaisha watu. Na watu wenyewe wameshapoteza mwelekeo.
Hamna linalo shindikana hapa Tz Raisi na chama tawala wakitaka katiba sio lolote katika utawaala wa JPM, hakujuwa madhara ya alichotenda, kwenye uchaguzi
Ok, nimekupata, kumbe ni kura za ubunge jumla kwa majimbo yote ya ubunge nchi nzima, nilidhani ni kwa lile jimbo waliloshinda pekee.Ungeuliza kwanza na mbona hii kitu ipo wazi sana? Yes, huwezi kujua kila kitu, basi usilete ujuaji
Viti maalum ipo hivi
- sheria inasema angalau chama kiwe kimepata 5% ya kura zote zilizopigwa za ubunge. Mfano kura zilizopigwa za ubunge ni mil 10, kura za ubunge chadema zinatakiwa ziwe zimefika au kuzidi 5%.
Baada ya hapo ndipo itatafuta % katika hivyo vitu 150 vya ubunge nchi nzima.
Mfano tena : chadema imepata kura milioni 1 za kura zote za ubunge let say mil 10, hivyo chadema wanakuwa na 10% ya viti maalum. Hivyo katika viti 150 jumla kwa ajili ya ubunge chadema itapata viti 15.
Issu ya zitto na ACT kwa mwaka 2015, hii isingewezekana kumbuka kuwa mwaka 2015 ACT kilikuwa ni chama kichanga sana hivyo hawakusimamisha wagombea ubunge majimbo mengi sana na hivyo kura za ubunge za chama cha ACT zilikuwa hazifiki angalau 5% ya kura zote za ubunge.
Chadema mwaka huu 2020 waliamua
Ambapo hujaelewa uliza, lengo ni kueleweshana.
Hakuna chama kinachoweza kuitoa CCM madarakani kwa mfumo uliopo Sasa. Vinginevyo ni mpaka tuwe na tume huru ya uchaguzi.Chadema ilikufa baada ya Dr slaa kuondoka Hawa wengine wanafanya siasa za majitaka na matukio kwa style hii watabaki kuwa chama Cha upinzani muda wote ikulu wasahau
Kama yule mbunge wa chadema hajavuliwa uanachama basi chadema watakuwa wamekula matapishi yaoTukiwarushiwa ndizi na wazungu ni halali yetu.
Walifanya maamuzi ya kijinga kupora uchaguzi sasa wanaanza kuteseka.
Wabaki wenyewe kwenye hilo Bunge lao la chama kimoja(Bunge la Ma-CCM) lifanye kazi ya kusifu,kutukuza na kupongeza.
Unapenda kuandika vitu vya ajabu!.
Walioleta vurugu ni wale walioingia vituoni na kura feki, na kufukuza mawakala kwa marungu, ama kweli ukipenda kipofu utaita chongo.
Ok, nimekupata, kumbe ni kura za ubunge jumla kwa majimbo yote ya ubunge nchi nzima, nilidhani ni kwa lile jimbo waliloshinda pekee.
Itakuwa jambo zuriHilo la mahakamani nalo linaweza kuwa mojawapo ya ajenda za kikao cha kamati kuu kama watakutana.
Chadema imegeuka kutoka kuwa chama cha siasa kuwa kikundi cha wasanii, madalali na vibaraka
Ukiangalia sana walichokifanya kwenye uchaguzi huu utaona kabisa kwamba Walijua hawawezi kushinda uchaguzi ndio maana hawakutaka kutumia pesa nyingi kwenye kampeni wala kwa mawakala; ila walijipanga kuleta vurugu kwa kujitangazia ushindi kwa Ile utaratibu wao ambao nao ulishindikana... au kuingiza watu barabarani ili wapate msaada wa wale mabwana ambacho nacho kimeshindikana
Mbona kelele km zote mkuu. Kwani tatizo ni nini hapo. Uchaguzi umeisha, washindi wametangazwa. NEC wamefanya kazi yao vizuri kabisa na kupongezwa. Bunge la kijani ndilo lilikuwa takwa la msingi na limetimia. Sasa NEC kutuhumiwa kughushi , tena kwa niaba ya waliokataliwa na wananchi inakuwaje hapo? Nashauri bunge liendelee tu , kusiwe na mpango wowote wa kuteua wakwamisha maendeleo wa nchi hii kuvuruga Bunge letu tukufu. Kijani 99.9% ipo sawa. Tuachane na ulaghai .Nyie ndo vichaa kabisa, wamekosa ubunge kina mbowe, mdee, nk ndo mgomee wengine waliopata kuingia bungeni? Chadema ni wabinafsi sana, nimempenda yule mbunge wa nkasi hajakubaliana na unafiki wa hawa jobless kwa miaka mitano, goja waonje joto la jua, nabariki hata NEC ikighushi sahihi watakaoteuliwa nendeni msisikilize maneno ya kina Mnyika wao wanalipwa hela za ukatibu mkuu, wala kina lissu na mbowe na walijua wakapeana vyeo mapema kabsa.
aliyepata kushuhudia manyani yanavyoishi... atakuelewa... manyani ni mabinafsi, malafi na yanaweza anzisha ugomvi ambao hauna hata maana... yapoyapo tu... nyani anaweza angusha matunda ya mti mzima... ukiyaangalia ni yamefanya kuharibiwa na hayajaliwa... nyani hapendi kumuona mwenzake anapata mazuri...Ila kweli maafrika ni manyani,nimefuatilia uchaguzi wa us kuanzia kampeni hadi kutangazwa mshindi sjasikia kama kuna mtu kapigwa huko au kuuawa au figisu zozote kisa uchaguzi