Tanzanian politics inahitaji watu sio viongozi
Bobby wine wa Uganda amekamatwa muda huo huo maandamano na watu zaidi ya 30 wakafa
Halima mdee alikaa jela na kuteswa sana hatukyfanya
Madeni mkuuWengine wamekimbilia Kenya wakidai kuwa Tz Hali si shwari, Sasa sijui hii itatafasirikaje tu🤔
Ama kweliNimecheka sana hahahaha, chezea kukosa ajira hahahaha alafu njaa iko kichwani lazima mkae hahahaha
Kigogo alisema yote haya na esta na Mdee wakawa wakali
Hii ni technique ya kitoto ya kujaribu kuzuia “taharuki” na mihemuko ya wafia chama waliokuwa wanaapa na kujiapiza kwamba haendi mtu Bungeni. Dada Aida sasa watu wakamuombe msamaha!tunaambiwa vikao vya chama vyenye maamuzi havikufanyika na hakuna majina yaliyowasilishwa Nec. Inavyoelekea bila shaka kuna shopping list ya BAWACHA ambayo sasa inafanyiwa kazi kwa msaada wa ofisi ya Spika na vyombo vingine.
Ni jambo jema. Ungefanya kitu pengine familia yako ingekuwa kwenye shida.Tanzanian politics inahitaji watu sio viongozi
Bobby wine wa Uganda amekamatwa muda huo huo maandamano na watu zaidi ya 30 wakafa
Halima mdee alikaa jela na kuteswa sana hatukyfanya kitu