Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Kamanda leo umepoaaaaaaa!
Watafukuzwa uanachama ili kukijengea chama uaminifu kwa wananchi. Vinginevyo tofauti na hili CHADEMA ndo kimekufa rasmi.Hana analoweza kufanya Njaa imewazidi nguvu... kama Halima ameshindwa yeye nani?
Duh hii kali sana....Akihojiwa na shirika la utangazaji la BBC
Mnyika anasema kwa mujibu wa taratibu na sheria mwenye mamlaka ya kureuwa majina ni baraza kuu la chama na katibu wa xhama ndie mwenye mamlaka ya kuandika barua kwa tume kuwasilisha majina ya wabunge wa viti maalum.
Yanayoendelea Dodoma inabidi tume na spika waseme hayo majina wamepelekewa nan nani toka CHADEMA
CCM ni hatari,Trump aje kupata shule haaa haaa"Nikishukuru chama changu cha Chadema kikiongozwa na Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe ambao kupitia wao sisi tumepata nafasi ya kukiwakilisha chama chetu, viti hivi siyo hisani ila ni sehemu ya ushindi mkubwa ambao chama chetu kilipata"- Halima Mdee
Hiyo ni kauli ya Mdee
Mnyika na Lisu inawezekana bado ni wageni ndani ya chama
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum β niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.β
---UPDATE---
Akihojiwa na shirika la utangazaji la BBC
Mnyika anasema kwa mujibu wa taratibu na sheria mwenye mamlaka ya kuteua majina ni baraza kuu la chama na katibu wa chama ndiye mwenye mamlaka ya kuandika barua kwa tume kuwasilisha majina ya wabunge wa viti maalum.
Yanayoendelea Dodoma inabidi tume na spika waseme hayo majina wamepelekewa nan nani toka CHADEMA
Halima Madee na Ester Bulaya kujifanya makamanda kumbe makamanda njaa tu. Hongera CHADEMA kwa msimamo usioyumba. Kesho Kamati Kuu ikae kufukuza wote hao.