Mkuu hujui au...hapo mambo ya GEAR ANGANI...kwa sasa nimeamini kuwa chadema ni utopolo...acha niwe mpinzani nisiyefungamana na chama chochote nitapinga kwa yale ninayaona yapo kinyume lkn kuamini katika falsafa za kichama rasmi nimejitenga nazoInacho Uma Mwenyekiti Amekaa Kimya Sana Kwenye Ili Swala Sijui Ana Maana Gani Na Niswala Kubwa Na Gumu Lakini Yuko Kmy Au ndio lile Biti alilopigwa Na Mdee Kua Atatoboa Siri Za Ndani so sad
Kwanini wasubiri waje kufanya damage control?Kwanini hawakuwa proactive?Kuna sababu gani ya kuwaweka wafuasi na wanachama kwenye hii sintofahamu?Nadhani muda mwingine kusubiri matamko ya taasisi husika ni nzuri zaidi kuliko kurukaruka....
Mbowe anajua zaidi kinachoendelea...atatolea ufafanuzi akionelea inafaa.
Kwa akili yako unadhani Mdee, Bulaya, Kaboyoka. Watakuwa wameebda tu Dodoma bila kuambiwa na Chama??Ni wazi kuna rafu imechezwa kwa kushirikiana na Ndugai!Sasa ili iwe fundisho napendekeza wafutwe uanachama na KM apeleke majina mengine ambayo yamo kwenye orodha ya wagombea viti maalumu!
Unadhani nina majibu ya kukupa basi mkuu....labda kama unataka niwe mropokaji nijifanye F. Mbowe...Kwanini wasubiri waje kufanya damage control?Kwanini hawakuwa proactive?Kuna sababu gani ya kuwaweka wafuasi na wanachama kwenye hii sintofahamu?
Yani wamejizalilisha Sana very shame kuumia kisa nafasi za wanawake Hawa watu wabinafsi na wachumia tumbo, wao si waligombea waende bungeni sasa kushindwa kwao ndio wanawake eti wasiende, very shameWajinga Sana hawa kina mnyika..
Wanahangaika na viti vya kina mama utadhani vinawahusu..
Wanataka wakose wote.
Binafsi niliamini Chadema wameamua kutotolea uamuzi rasmi suala la Aida kutokana na jinsi alivyopata ubunge wake na kutokana pia na jinsi yeye mwenyewe alivyoonyesha shauku ya kutumikia nafasi hiyo.Hatua gani? Hatua ilipaswa ianze na Aida kama chama kinaheshimu principles zake.
Hapa ni muda wa kujitafakari kama Chama na kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa Nchi na Chama. Ni muda wa Viongozi kuonyesha uongozi. Mbowe somehow anayumba sasa
Hapo Wanaulizana hii taarifa kavujisa nani...?
Upo sahihi kabisa hao wasaliti wabaki upande wa NdugaiNi wazi kuna rafu imechezwa kwa kushirikiana na Ndugai!Sasa ili iwe fundisho napendekeza wafutwe uanachama na KM apeleke majina mengine ambayo yamo kwenye orodha ya wagombea viti maalumu!