Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Wafuasi wa chadema hebu wapeni viongozi wenu nafasi wafanye kazi.Mliwachagua wenyewe. Hii ni Tanzania 🇹🇿 mpya na yajayo ni neema tupu.Siku zijazo mtegemeee nafasi za uwaziri.Hakuna rais bora kama JPM, tumeamua kujenga demokrasia yenye mazingira ya kitanzania kwa manufaa ya mama Tanzania 🇹🇿, hatutaki tena demokrasia ya kiliberali na kimagharibi.Siasa za fitna hazina nafasi tena, sisi sote ni watanzania.Mabeberu ikula kwa hakuna kumwaga damu Tanzania. Hongera sana Mbowe kwa kuweka Tanzania 🇹🇿 mbele kuliko chadema.