Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

1. Katibu Mkuu ambaye ndiye mwenye dhamana ya kupeleka majina ya wabunge viti maalum kwa tume ya uchaguzi hajawahi kupeleka majina hayo.

2. Wabunge walioelekea bungeni kuapishwa hawana baraka za chama...
Kama mnajua hawajafuata utaratibu futeni hao kesho uanachama, Lakini kuendelea na mambo ya sijui hata wakibaki ni uongo mtupu.
 
Wasipofukuzwa utakua ni usariti na dhambi wya hali ya juu Sana kuliko hata walioharibu uchaguzi
 
Wanaume wakati mwingine muwe mnaridhika hizo nafasi ni za kina mama
Sugu na Mbowe walitaka nyumba zao ndogo waingizwe, Mdee akachomoa
safari hii ruzuku ndogo na hakuna kukatwa lolote
hao walioingia wanafaa kupambana, wanaume wasubiri post nyingime
km vile Zanzibar
 
Upinzani wa tz haujielewi.
Mimi ntakuja kuushabikia ukishajielewa.. siwezi shabikia upinzani maandazi.
 
Mnapata shida sana. Zote ni porojo ukweli ndio huu
 
Yaani haujapita hata mwezi mmoja leo mna m-snitch Tundu Lissu???????

fottuto Madonna!
Wengine wamekimbilia Kenya wakidai kuwa Tz Hali si shwari, Sasa sijui hii itatafasirikaje tu🤔
 
Chadema walipeleka hayo majina wenyewe na wanapata mgawo wa hao wabunge VM. hawaweki wazi ili kuepuka shari na wafuasi wao wanataka mpoe kwanza na msahau kama kawaida ya nyumbu.

Boss hanuniwi.
 
Inacho Uma Mwenyekiti Amekaa Kimya Sana Kwenye Ili Swala Sijui Ana Maana Gani Na Niswala Kubwa Na Gumu Lakini Yuko Kmy Au ndio lile Biti alilopigwa Na Mdee Kua Atatoboa Siri Za Ndani so sad
Aache kupiga hela,Ili akuridhishe wewe au?😂😂
 
Alipoulizwa chama kitachukua hatua gani baada ya kutokea kwa jambo hilo, Mnyika amesema, “tumeshaona tutakaa na kujadiliana na kueleza hatua tutakazochukua. Kwa sasa tambueni hatukupeleka orodha.”

Hata hivyo, Halima Mdeecwakati akizungumza baada ya kuapishwa kwa niaba ya wenzake alisema wamepata baraka za chama hicho huku akimtaja mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.

Kama kauli hii kauli ya Halima ina ukweli ndani yake basi Mbowe anatakiwa kujiuzru haraka kwa ajili kulinda heshima ya chama vinginevyo ajitokeze mapema kukana ili

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…