mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Ngoja nipite tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli mii bado niko neutral katika hili la wabunge wa viti maalumu.1. Katibu Mkuu ambaye ndiye mwenye dhamana ya kupeleka majina ya wabunge viti maalum kwa tume ya uchaguzi hajawahi kupeleka majina hayo.
2. Wabunge walioelekea bungeni kuapishwa hawana baraka za chama...
Wanasiasa wote ni opportunists. Tumbo na maslahi yao mbele - all the time!
Kazi ipoTena walikuwa kama mbogo alojeruhiwa... Wanafiki wakubwa wale
Mbowe, Mnyika, Mdee na wabunge wengine wote lao moja, hapa aliechwa kwenye mataa ni Lissu tu namwonea huruma Sana.
Biashara mchezoii???
Mtu hajawahi kufanya biashara hata ya kuuzA kuku
Biashara tuachie wenyewe wewee
Sio kila Mtu anaweza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Twende na nani 2025 Shangazi au Amsterdam?
Bado kuna watu hawaelewi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli hili lichama ni lisaccos la mbowe! Hahahahaaaaaa
Vijana mtakuja kuvunjwa miguu kwa ajili ya hawa wapuuzi!
Unalemazwa kiuno na FFU halafu baadae unamuona mbowe anakunywa divai na magufuli ikulu ya chamwino.
Ni yeyeGenge la wasanii wa siasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa swala sio Spika na Tume swala inakuwaje hao wanachama wenu waendee kuapishwa kama ni uongo??
Msitudanganye bwana. Inamaana hawa Viti maalumu wa chadema walitekwa mpaka bungeni.
Watanzania sio WAJINGA
Kweli wewe sio mfanyabiasharaNi kweli usemayo lakini kuna biashara nyingine hazihitaji uzoefu mkubwa,kwa mfano mdee amejenga nyumba ya zaidi ya Tsh 400m ,wakati akiwa mbunge alikuwa anauwezo wa kupata mkopo hadi wa mil 600 ,kama angejipanga vizuri ,angejenga hata nyumba za mil 40 kama 15 hivi na angeweza kupangisha kwa DSM kodi ya llaki 2 kwa mwezi.
Kwa nyumba 15 yaani 200,000/= * 15 angekuwa anaingiza 3m kwa mwezi.
Ni kweli usemayo lakini kuna biashara nyingine hazihitaji uzoefu mkubwa,kwa mfano mdee amejenga nyumba ya zaidi ya Tsh 400m ,wakati akiwa mbunge alikuwa anauwezo wa kupata mkopo hadi wa mil 600 ,kama angejipanga vizuri ,angejenga hata nyumba za mil 40 kama 15 hivi na angeweza kupangisha kwa DSM kodi ya llaki 2 kwa mwezi.
Kwa nyumba 15 yaani 200,000/= * 15 angekuwa anaingiza 3m kwa mwezi.
Wakienda CCM hawana faida tena. Ili misaada ije kunatakiwa kuwe na mwenyekiti wa kamati ya mahesabu kutoka chama kikuu cha upinzani. Bila kuwepo huyo, wafadhili hawawezi kuleta misaada.Na wakiwafukuza wanahamia ccm kabisaa
Hahahaaaa kweli kabisaWewe unaongelea hypotheticals wakati hapa kuna real problem!
Hizi ange ange ange zako zinamsaidia nini Halima kwa hali yake ya sasa?