Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Lissu huyu huyu raia wa Ubelgiji?Mnyika si mbaya aandaliwe tu kwa nyakati zijazo, kwa sasa Lisu bado ana uwezo mkubwa kukabiliana na siasa za chama tawala. Itapendeza sana kama atachaguliwa na chama chake kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao. Hata mwenyekiti wao mbowe naye bado ana nguvu na uwezo wa kugombea uraisi. Kama kuna makada wengine wenye uwezo wa kushawishi wapiga kura nako ni vizuri tu na ni hazina ya chama chao
Kwahiyo ataongoza nchi kwa zoom, nyie watu ni wacheshi mno.