John Mnyika is our next Man 2025

Lissu huyu huyu raia wa Ubelgiji?
Kwahiyo ataongoza nchi kwa zoom, nyie watu ni wacheshi mno.
 
SAU inagombea makini sana kuliko Chadema.
 

Lissu hawezi kuwa Rais mkuu wa nchi yoyote. Labda chumbani kwake. Hana sifa. Hana kaba. Yule awe tu mwanaharakati.
 
Shida katiba mpya itaamuliwa na itaamuliwa na mama Samiah.
Mwana CDM yoyote anayewaza Uchaguzi kabla ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kwangu ni ADUI kuliko hata mafisadi wa CCM.
 
Kwa hiyo katiba mpya na tume huru ya Uchaguzi haina umuhimu tena?
 
2025 kwa katiba mpya kwa mara ya kwanza tutakuwa na independent candidate mgombea urais atakayeshika nchi.
 
Na mnajiona mpo serious?kweli Tanzania hakuna upinzani
 
2025 ulikua wakati sahihi wa Zitto sema ndio hivyo alijichanganya sana 2015-20 alipokua haeleweki msimamo wake ila akiandaliwa mapema alongside Mnyika then watajenga core nzito ya upinzani.

Then Jussa awe mgombea mwenza for any of the aspirants hapo, kwa udhaifu wa CCM ya sasa tukiwa na serious plans na tume huru basi Mama atapisha tu hiko kiti maana kura zitakua nyingi sana mpaka kuiba itakua ngumu.

NB: Lissu sio bad choice ila kwa culture ya CHADEMA ya kutorudia mgombea nadhani itampa chance Mnyika maana yupo diplomatic zaidi, yupo moderate, ana compromise inapotakiwa, so naona atafaa zaidi maana Lissu anaweza kuinyoosha CCM ila yupo too extreme Nina hofu anaweza kuwa mkali kama JPM na kujikuta anageuka dikteta.

Nasema hivi honestly kabisa kama mtu niliyempigia Kura Lissu 2020, otherwise akiandaliwa mapema akawa na utulivu kama Mbowe then Bado ana ushawishi mkubwa wa kuiondosha CCM kama uwanja ukiwa sawa kama Kenya
 
2025 kwa katiba mpya kwa mara ya kwanza tutakuwa na independent candidate mgombea urais atakayeshika nchi.
Independent kushinda ni ngumu, kampeni za grassroots ni lazima uwe na foot soldiers ambao ndio wagombea wa vyama kwenye ngazi za udiwani, ubunge, wenyeviti wa vijiji n.k
 
Hana degree hana sifa
 
Yasemekana John Mnyika ni mwezi mchanga. Bora kujiridhisha kwanza na Afya yake ya akili kabla ya kumuamini kwa mambo makubwa.

Hata Magufuli alikuwa kichaa ila watu wakapuuza mpaka akawa Rais. Na yaliyotokea yalidhihirisha UKICHAA wake
Hapana alikua na matatizo ya Figo tu but he's fine now, kichwani alikua "machachari" 2005-2012 ila Dr Slaa alimpika vilivyo akawa ametulia huku alijenga hoja taratibu mpaka huchoki kumsikiliza. Ana ushawishi mkubwa sana hasa alipokua bungeni na pia ana IQ kubwa sana ya kung'amua mambo in a split second.

Bado ni kijana so hata isipokua 2025 ila in 10 years time atatufaa sana CHADEMA.
 
Tunataka KATIBA mpya kwanza kabla ya Uchaguzi wowote.
Kapige nae picha huyo mgombea wako alokutuma.
God bless Lema , ameamza kuelewa . Katiba hata iwe bora kiasi gani, kama uadlifu hakuna, haitoleta mafanikio talajiwa.
 
Kwahyo huyo Mnyika ndo atakuwa Rais nyumma ya keyboard?

Wapuuzi kama nyie ndo mnasababidha CDM ionekane haiko serious kuchukua Dola[emoji51][emoji51]

Kwa akili Yako, kupitia Katiba hii Unadhani unaweza shinda uchaguzi Nchi hii nafasi ya URAIS?
Katiba hii unaweza kushinda. kutangazwa, anae takiwa kukutangaza ameapa kuilinda.

No matter , kwambia ameteuliwa na mmoja Wawa gombea.
 
God bless Lema , ameamza kuelewa . Katiba hata iwe bora kiasi gani, kama uadlifu hakuna, haitoleta mafanikio talajiwa.
RASIMU alosimamia Judge WARIOBA Ina maadili ya viongozi,

Kipengele hicho kiliondolewa Katiba iliyopo.

KATIBA mpya ni muhimu.

Kuhusu Lema, IPO siku nitakuambia ni nani Hasa.
 
Katiba hii unaweza kushinda. kutangazwa, anae takiwa kukutangaza ameapa kuilinda.

No matter , kwambia ameteuliwa na mmoja Wawa gombea.
Soma ulichoandika, na Andika tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…