John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

Sheria ziko...polisi anapokataa...haiishii hapo...
Sio kila anaekuja kavaa kiraia na Pingu na bastora kiunoni anakuja kukukamata ni Polisi inakubidi uelewe, una haki ya kugoma kukamatwa km huwaelewi wakiweza basi wakuue tu hapo hapo watu wakiona kuliko kwenda kukupoteza usionekane popote
 
Duh

Hapo Kenya Wanafunzi 17 wamekufa kwa Moto na wengine 70 hawajulikani walipo

Mungu wa mbinguni uturehemu sisi
Hii taarifa yako ina uhusiano gani na taarifa iliyo wekwa kwenye mada?
Kwa kweli nadhani wewe unafanya kazi isiyo kuwa ya kibinaadam na kiungwana kabisa!
Taarifa yako unaiweka kwenye mada hii kwa sababu zipi hasa?
Hebu jaribu kujifikiria tu, wewe ni mtu mzima, hata kama utakuwa una changamoto kichwani!!
 
Hii taarifa yako ina uhusiano gani na taarifa iliyo wekwa kwenye mada?
Kwa kweli nadhani wewe unafanya kazi isiyo kuwa ya kibinaadam na kiungwana kabisa!
Taarifa yako unaiweka kwenye mada hii kwa sababu zipi hasa?
Hebu jaribu kujifikiria tu, wewe ni mtu mzima!
Angefungulia uzi mpya
 
Huu sasa ni ujinga.. basi linasimamishwa, mtu amafungwa pingu na watu wenye nguo za kiraia yeye anakubali tu? Abiria nao wanakubali tu?

Juzi dereva wa basi kauwawa huku abiria wake wakirekodi video wamekubali tu?

Watanganyika kwa ukondoo huu ni haki yenu kufanyiwa yanayofanywa na wenye mamlaka. Huu ni ujinga sio upole wala woga.
 
nchi inazidi kuelekea giza nene taratiibu. Yalianza zamani kidogo; kasi ikiongezeka taratibu huku ikihanikizwa na ujinga, kiburi, uchawa na tamaa ya fisi.

Muda si muda vilio vitakolea kila pande hata kwa wachimba visima. Wote watalia kwa kupokezana; na kwa ujinga uliokithiri, wasielewe wamefikaje hapo.
 
Imefika mahali ambapo ni lazima Chadema Wajibu Mapigo
Taratibu kwanza. Hili ndilo wanalo lililia sana hawa watu wanaofanya haya.

Ni muhimu sana kuelewa wanachofanya na sababu za kufanya hivyo. Ukitumia pupa unajiingiza mwenyewe kama mkizi.
Mimi naanza kuona picha linavyo kwenda...
 
Hakuna namna nyingine kwa sasa
 
nchi inazidi kuelekea giza nene taratiibu. Yalianza zamani kidogo; kasi ikiongezeka taratibu huku ikihanikizwa na ujinga, kiburi, uchawa na tamaa ya fisi.

Muda si muda vilio vitakolea kila pande hata kwa wachimba visima. Wote watalia kwa kupokezana; na kwa ujinga uliokithiri, wasielewe wamefikaje hapo.
Kuna jambo hapa. Kuna mpango unao tengenezwa kwa maksudi mazima.
Ni vema kujuwa mpango ni upi kabla ya kutafuta njia nzuri za kuukabili.
 
Nilijua ni mwanaume kumbe ni mtoto mzuri wahuni tumkamie
Utamuweza dada yangu mnyakyusa mwenzangu huyo?!!

Kaka yake tu ananidharau kwa kuwa apeche alolo....shopping huwa anafanyia Qatar na Dubai....Xmass kupumzika Mauritius na Sun City....shemeji utamuweza huyo?!!

Kama ndivyo nitayarishie changu cha udalali nkupeleke kwao.....[emoji1787]
 
Back
Top Bottom