John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

[emoji1787][emoji1787]
I see it you expect much from that delusional thoughts ,by the way ,CCM knows 10D's much than you do....

Dadangu unaweweseka mapema hii ?!!

Punguza kunywa "energy drink" usiku mwingi [emoji1787]
Hata Magufuli kabla hajafa alijua atakuwa Rais Milele, ndio maana alilazimisha viongozi wa ngazi zote kununua viwanja Chato

Sikushangai wewe mtu duni kujidanganya kama hivyo
 
Hata Magufuli kabla hajafa alijua atakuwa Rais Milele, ndio maana alilazimisha viongozi wa ngazi zote kununua viwanja Chato

Sikushangai wewe mtu duni kujidanganya kama hivyo
Babu yangu sio mzee Duni Haji....

Hakuna atakayeishi milele....tuogope kuyasimamia maslahi mtambuka ya nchi kwa kuwa tutakufa ?!! [emoji44][emoji44][emoji1787]

Dada Tutindaga unafeli wapi ?!!

Dada Shida anakusalimia sana.....
 
Unayemwita Dada aweza kuwa Mume wa Shangazi yako, hii JF kuwa makini sana
 
Ifike kipindi police wajitafakari hata kama ni maagizo waangalie uhalali wa ayo maagizo police sio maroboti
 
Mnyika anasema ametoa taarifa hii ili kama kuna yeyote alikuwepo kwenye basi atoe ushirikiano.

Hakuna mtu alikuwepo kwenye basi, zaidi ya mtekwa! Dereva yeye, tingo yeye, abiria yeye.

Mnyika amekuwa akipwaya kichwani jinsi miaka yake inavyoongozeka kwenye siasa na uongozi.
 
Umejuaje kama hakukuwa na mtu kwenye gari kama wewe hukuwepo eneo la tukio ? Tukisema wewe ni muhusika tutakuonea?
 
Huu sasa ni ujinga.. basi linasimamishwa, mtu amafungwa pingu na watu wenye nguo za kiraia yeye anakubali tu? Abiria nao wanakubali tu?

Juzi dereva wa basi kauwawa huku abiria wake wakirekodi video wamekubali tu?

Watanganyika kwa ukondoo huu ni haki yenu kufanyiwa yanayofanywa na wenye mamlaka. Huu ni ujinga sio upole wala woga.
Bongo Kila mtu anapambania nafasi yake
 
Hii ndio Taarifa

Wakati waziri mkuu mheshimiwa Kassim Majaliwa leo Septemba 06, 2024 alipofungua Semina Elekezi Kwa Viongozi Waandamizi Wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Vyombo Vya Usalama wa Wizara hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Weruweru River Lodge, mkoani Kilimanjaro, Tanzania akisisitiza 4R za Rais Samia Hassan zitekelezwe, waziishi na kuzifahamu kwa undani viongozi hao waandamizi wa wizara ya mambo ya ndani, Polisi, Intelejensia ya Polisi, Magereza, Zimamoto
1725668631247.png
 
Mnyika anasema ametoa taarifa hii ili kama kuna yeyote alikuwepo kwenye basi atoe ushirikiano.

Hakuna mtu alikuwepo kwenye basi, zaidi ya mtekwa! Dereva yeye, tingo yeye, abiria yeye.

Mnyika amekuwa akipwaya kichwani jinsi miaka yake inavyoongozeka kwenye siasa na uongozi.

..Mnyika amesema Ali Mohammed Kibao, kiongozi wa Chadema, amekamatwa akiwa ktk basi la Tashrif la kutoka Dsm kwenda Tanga.

..bila shaka kuna wafanyakazi wa basi hilo, pamoja na abiria, wanaoweza kutoa taarifa zaidi kuhusu kilichotokea.
 
Ila wabongo sisi ni makondoo sana. Yaani pamoja na hali ya utekaji bado basi zima mnaweza kuruhusu mwenzenu achukuliwe na watu katika mazingira yasiyoeleweka?!

Mimi ndio maana husema kwa wananchi hawa tulionao hakuna haja ya kuwapambania. Unawapiganiaje watu ambao wao hawawezi kukupigania hata kwenye mazingira ya kawaida.
 
Back
Top Bottom