Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Hiyo Nchi wanakoipeleka ni kubaya sana maana wanaotekwa wakichoka nao wakianza kuteka kama Cape Town sijui itakuaje..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter)
---
John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti:
Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na watu walijitambulisha kuwa ni polisi(bila uniforms).Walizuia basi la Tashrif alilokuwa amependa kutoka DSM kwenda Tanga kwa gari za kawaida wakaingia na kumfunga pingu.Tunaendelea kufuatilia kupata taarifa kamili ikiwemo wamempeleka wapi. Nimetoa taarifa hii ya awali ili iwapo kuna yoyote alikuwepo kwenye basi au ana taarifa zozote kuhusu alipopelekwa atupatie au kutupa ushirikiano wa haraka.
🤔🤔🤔Hiyo Nchi wanakoipeleka ni kubaya sana maana wanaotekwa wakichoka nao wakianza kuteka kama Cape Town sijui itakuaje..
Watasema jeshi la polisi lilizuia mikusanyiko bila kibali, humo ndani ya basi alikutwa na watu wengine 65 wakitaka kufanya mkutano.Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter)
---
John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti:
Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na watu walijitambulisha kuwa ni polisi(bila uniforms).Walizuia basi la Tashrif alilokuwa amependa kutoka DSM kwenda Tanga kwa gari za kawaida wakaingia na kumfunga pingu.Tunaendelea kufuatilia kupata taarifa kamili ikiwemo wamempeleka wapi. Nimetoa taarifa hii ya awali ili iwapo kuna yoyote alikuwepo kwenye basi au ana taarifa zozote kuhusu alipopelekwa atupatie au kutupa ushirikiano wa haraka.
Kwani waliotekwa hawakuchukuliwa?Kwa mujibu wa katibu amesema Amechukuliwa hajatekwa hivyo tutulie vyombo husika vitatupa taarifa kamili
Kuua watu ni uimara?Waje tena waseme Mama ni dhaifu 😂😂
Ingelikuwa ni wa ccm taarifa ingelitoka hiyohiyo jana,ila kwa,vile waliofanya hivyo ni policcm na mlengwa ni kiongozi wa chadema hakuna chombo kitakachofanya hayo.Kwa mujibu wa katibu amesema Amechukuliwa hajatekwa hivyo tutulie vyombo husika vitatupa taarifa kamili
Cape Town wanatekwa hadi Polisi inabidi watembee wengi kwenye maeneo hatari..
Fikiria kidunia zaidiHii taarifa yako ina uhusiano gani na taarifa iliyo wekwa kwenye mada?
Kwa kweli nadhani wewe unafanya kazi isiyo kuwa ya kibinaadam na kiungwana kabisa!
Taarifa yako unaiweka kwenye mada hii kwa sababu zipi hasa?
Hebu jaribu kujifikiria tu, wewe ni mtu mzima, hata kama utakuwa una changamoto kichwani!!
DC aliyefukuzwa vipi karudi kwenye mapori yake ?Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter)
---
John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti:
Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na watu walijitambulisha kuwa ni polisi(bila uniforms).Walizuia basi la Tashrif alilokuwa amependa kutoka DSM kwenda Tanga kwa gari za kawaida wakaingia na kumfunga pingu.Tunaendelea kufuatilia kupata taarifa kamili ikiwemo wamempeleka wapi. Nimetoa taarifa hii ya awali ili iwapo kuna yoyote alikuwepo kwenye basi au ana taarifa zozote kuhusu alipopelekwa atupatie au kutupa ushirikiano wa haraka.
Acha vitisho vya kifalaAnza Wewe kamanda onyesha mfano ufanywe mfano kwa wengine
Kama ni kweli tunakoelekea siko kabisa kabisa !!Duh...!.
P
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter)
---
John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti:
Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na watu walijitambulisha kuwa ni polisi(bila uniforms).Walizuia basi la Tashrif alilokuwa amependa kutoka DSM kwenda Tanga kwa gari za kawaida wakaingia na kumfunga pingu.Tunaendelea kufuatilia kupata taarifa kamili ikiwemo wamempeleka wapi. Nimetoa taarifa hii ya awali ili iwapo kuna yoyote alikuwepo kwenye basi au ana taarifa zozote kuhusu alipopelekwa atupatie au kutupa ushirikiano wa haraka.
Ujitokeze ww ili umfanye mfano kwa wengine.Anza Wewe kamanda onyesha mfano ufanywe mfano kwa wengine
Mama yenu si anaupiga mwingi?Hivi basi zima hakukuwa na BAVICHA? Kuna haja ya chadema kukopa falsafa ya jino kwa jino kutoka CUF.
Mkuu mamayo huyu anaupiga mwingi!Ujitokeze ww ili umfanye mfano kwa wengine.
Nchi ya WasiojitambuaIla wabongo sisi ni makondoo sana. Yaani pamoja na hali ya utekaji bado basi zima mnaweza kuruhusu mwenzenu achukuliwe na watu katika mazingira yasiyoeleweka?!
Mimi ndio maana husema kwa wananchi hawa tulionao hakuna haja ya kuwapambania. Unawapiganiaje watu ambao wao hawawezi kukupigania hata kwenye mazingira ya kawaida.
Hali inatisha. ....Nyumba nyeupeee kimyaaa!Huu sasa ni ujinga.. basi linasimamishwa, mtu amafungwa pingu na watu wenye nguo za kiraia yeye anakubali tu? Abiria nao wanakubali tu?
Juzi dereva wa basi kauwawa huku abiria wake wakirekodi video wamekubali tu?
Watanganyika kwa ukondoo huu ni haki yenu kufanyiwa yanayofanywa na wenye mamlaka. Huu ni ujinga sio upole wala woga.