Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wewe ulitakaje?Nikikumbuka mbwembwe za Chadema walivyo mpokea Samia wakati anaingia madarakani na kumpa tuzo juu;nachoka mimi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulitakaje?Nikikumbuka mbwembwe za Chadema walivyo mpokea Samia wakati anaingia madarakani na kumpa tuzo juu;nachoka mimi!
Ccm kimyaaa!?Kuna jambo hapa. Kuna mpango unao tengenezwa kwa maksudi mazima.
Ni vema kujuwa mpango ni upi kabla ya kutafuta njia nzuri za kuukabili.
Mara dodoma ,mara wapi, uzuri ni kuwa Kila anayeuawa au kutekwa ni Mwanachadema tu.nchi inazidi kuelekea giza nene taratiibu. Yalianza zamani kidogo; kasi ikiongezeka taratibu huku ikihanikizwa na ujinga, kiburi, uchawa na tamaa ya fisi.
Muda si muda vilio vitakolea kila pande hata kwa wachimba visima. Wote watalia kwa kupokezana; na kwa ujinga uliokithiri, wasielewe wamefikaje hapo.
Hakuna chadema yoyote atakaye jibu mapigo nyie ni mapopoma manyumbu tuImefika mahali ambapo ni lazima Chadema Wajibu Mapigo
Nashauri Kila kiongozi awekewe microchip kwa ajili ya GPS. Halafu kampuni za nje ya nchi zipewe tenda ya kuwafuatilia wakiwa popote dunianiHii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter)
---
John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti:
Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na watu walijitambulisha kuwa ni polisi(bila uniforms).Walizuia basi la Tashrif alilokuwa amependa kutoka DSM kwenda Tanga kwa gari za kawaida wakaingia na kumfunga pingu.Tunaendelea kufuatilia kupata taarifa kamili ikiwemo wamempeleka wapi. Nimetoa taarifa hii ya awali ili iwapo kuna yoyote alikuwepo kwenye basi au ana taarifa zozote kuhusu alipopelekwa atupatie au kutupa ushirikiano wa haraka.
Hata huyu mama wa kambo afanye nini, hawezi kuta ushetani wa dhalimu magu. Hutaki jinyonge.Mkuu mamayo huyu anaupiga mwingi!
Siyo dhalimu kabis
Mungu amewafuta machozi, hao watu wantekwa na Magufuli
Hali inatisha. ....Nyumba nyeupeee kimyaaa!
Tulikubaliana kuwa ni marufuku kuandika jina la jiwe hapa JamiiforumsMama yenu si anaupiga mwingi?
Kwanza mnatekwa kwani Magufuli bado yupo?
Mzee watu wanashuka na Bunduki na mikuki kibaoWatu wajinga huwezi shushwa kwenye basi na raia ukakubali na abiria wenzako nao wanaangalia tu. Huo ni ujinga.
Mzee watu wanashuka na Bunduki na mikuki kibao
Siku ya hesabu kuna watu watawalaumu wenzaoImefika mahali ambapo ni lazima Chadema Wajibu Mapigo
Kila siku siyo JumapiliHakuna chadema yoyote atakaye jibu mapigo nyie ni mapopoma manyumbu tu
Katibu Mkuu, John Mnyika
wanaanzaje wadanganye tu waingize mkenge wenzio wewe uko nyuma ya keyboardImefika mahali ambapo ni lazima Chadema Wajibu Mapigo
toka mbele jitokeze siyo kuandika tu ujinga hapaKila siku siyo Jumapili
Mm sielewi hii Tanzania yetu kweli kunatofauti gani leo hii na enzi za utumwa ambapo babu zetu na ndugu zetu wengi walibebwa kwa staili kama hizi na hakuna aliyepigana kupinga hilo yaani hapa tofauti ni miaka tu lkn mazingira ni yaleyale tu leo tumesoma shule lkn hatuwezi kulindana hii inaonyesha kwamba hata leo hawa waarabu na wazungu wakiamua kurudi na kuanza kututandika viboko wanaweza na kwa uboya tulionao tena uliojaa ubinafsi tutakubali tu.Polisi wanakataa kwamba sio wao wanaowachukua hawa binadamu wenzetu na sisi tunaendelea kuwavumilia watu ambao tayari jeshi letu zuri limeshawakataa mm nadhani tufike mahali tuseme basi inatosha tuanze ukurasa mpya maana hawa wenzetu wanateswa sana kisa kusema ukweli na kila kiongozi yuko kimya kwa sababu familia zao ziko salama,na ndugu zao wote wako salama.Tukumbuke kwamba watu wakishakataliwa na jeshi la polisi kwamba halihusiki basi hao wanaojitambulisha kama polisi tujue si polisi bali ni majambazi na wezi kama wezi wengine tucheze nao mwanzo mwisho.Tukileta ujinga tutaisha maana watawala tulionao hawana huruma na mtu yeyote watanzania tuamke.Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu, John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter)
---
John Mnyika kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa X (Twitter) anaripoti:
Nimetaarifiwa usiku huu kuwa Mzee Ali Mohamed Kibao Mtaalamu katika Sekretariati CHADEMA amechukuliwa na watu walijitambulisha kuwa ni polisi(bila uniforms).Walizuia basi la Tashrif alilokuwa amependa kutoka DSM kwenda Tanga kwa gari za kawaida wakaingia na kumfunga pingu.Tunaendelea kufuatilia kupata taarifa kamili ikiwemo wamempeleka wapi. Nimetoa taarifa hii ya awali ili iwapo kuna yoyote alikuwepo kwenye basi au ana taarifa zozote kuhusu alipopelekwa atupatie au kutupa ushirikiano wa haraka.