GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena Septemba 29, 2025

"Said Issa Mohamed ameidanganya Mahakama, amesema uongo kwenye nyaraka kwamba amefanya kiapo kwa niaba ya wengine, kisheria kiapo kikishakuwa na mapungufu makubwa kama haya inapaswa kifutwe, hatimae maomba yao yasiwe na msingi wowote, Jaji ataamua nini tunasubiri uamuzi wake tarehe 29 Septemba 2025." amesema Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Soma pia GE2025 - Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA imeahirishwa hadi Agosti 7, 2025

Hii kesi mbona inaenda kimya kimya hivi, hatupati updates kama kesi ya Lissu.
 
Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena Septemba 29, 2025

"Said Issa Mohamed ameidanganya Mahakama, amesema uongo kwenye nyaraka kwamba amefanya kiapo kwa niaba ya wengine, kisheria kiapo kikishakuwa na mapungufu makubwa kama haya inapaswa kifutwe, hatimae maomba yao yasiwe na msingi wowote, Jaji ataamua nini tunasubiri uamuzi wake tarehe 29 Septemba 2025." amesema Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

Soma pia GE2025 - Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA imeahirishwa hadi Agosti 7, 2025

Unaonekana huna taarifa sahihi...

Nani kakuambia John Mnyika ni "Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA..?"

Au wewe ndiyo unamkaimisha leo...?

Na kwanini umakaimishe..?
 
Ingekuwa sio mtu wao cdm wangeshindq ila ukimuona mbwa juu ya mti lazima ujiulize
 
Mnyika anavimba tu😅😅😅.
Holiday Inn kitambo tu Chadema alikua km kijiti.
Wanakunywa maji tu ila wapo holiday Inn
 
Back
Top Bottom