John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

John Mnyika: Sikuunga mkono Lowassa kuwa Mgombea wa Urais 2015 kupitia CHADEMA

Kikwete na Lowassa kuelekea 2005 walicheza rafu nyingi sana za hatari ambazo zimewagharimu/zitawagharimu. Kingunge kang'atwa na mbwa kama, Lowassa kateseka sana na zamu ya kikwete inakuja.
Ukweli Mkwere ndiye mtu hatari zaidi kwasasa akifuatiwa na Rost tamu
 
Lowassa aliletwa Chadema na Mbowe, iweje useme ni maamuzi ya watu wengi kwenye chama chako.?

Uko sahihi, Lowassa kupewa nafasi ya kugombea urais kwa zaidi ya 50% ilikuwa ni maamuzi ya Mbowe, hao wengine walibidi kufuata atakacho mwenyekiti. Ndio maana naendelea kusisitiza, cdm haiwezi kusogea tena mbele iwapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti.

Na maamuzi Yale ya kipuuzi yataendelea kukigharimu cdm. Ni aidha Mbowe apigwe chini wakae wenye siasa ngumu, au wakubali hizo kingi za maridhiano anazoingizwa Mbowe na cdm iwe kama TLP.
 
Uko sahihi, Lowassa kupewa nafasi ya kugombea urais kwa zaidi ya 50% ilikuwa ni maamuzi ya Mbowe, hao wengine walibidi kufuata atakacho mwenyekiti. Ndio maana naendelea kusisitiza, cdm haiwezi kusogea tena mbele iwapo Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti. Na maamuzi Yale ya kipuuzi yataendelea kukigharimu cdm. Ni aidha Mbowe apigwe chini wakae wenye siasa ngumu, au wakubali hizo kingi za maridhiano anazoingizwa Mbowe na cdm iwe kama TLP.
Mbowe atoki pale
 
..Lowassa alizingua.

..Cdm hawakufanya utafiti wa kutosha kuhusu afya ya Lowassa, na kama anaweza kuhimili mikikimikiki ya kampeni.

..Lowassa alikuwa hawezi kukampeni.

..kura na hamasa kwa kampeni yake zilipungua kadiri muda ulivyokuwa unakwenda.
Ilifika mahali ikawa kama Sumaye ndiye mgombea.

Lowasa hakuweza hata kuwahutubia wapigakura kwa dakika 10.
 
Haya ndo mambo tunayohitaji Watanzania tuliowengi mitazamo ya kabla na baada ya kifo itazamwe kwà mtazamo chanya.Hapa Mnyika amenifurahisha sana pia kwà kuwa ni mwana kaskazini mwenzetu tutaendelea kuheshimu mawàzo lkn sio MAKONDA Msukuma
Unasumbuliwa na ukabila
 
Leo hii wenye mitazamo ya kipinzani na wataka mabadiliko, hawaitaki ccm, na Wala hawawaamini wapinzani ambao ni cdm.

Msimamo wangu umeendelea kubaki kuwa kumpokea Lowassa ilikuwa ni hasara kwa cdm, wakati ule, na zaidi zaidi sasa. Na ninaendelea kusisitiza ili cdm ipate hamasa mpya, ni Mbowe kutokuwa mwenyekiti wa cdm, na uenyekiti wa cdm apewe Tundu Lisu, katibu mkuu awe Heche. Mbowe kagota tusitegemee jipya toka kwake zaidi ya maridhiano ya kitapeli.
Hakuna hali CCM wanai-enjoy kama sasa, wananchi kukosa imani na Upinzani. Mtawala apate nini zaidi ya hiki?

Tatizo jingine ninaloliona ni viongozi wakuu wengi wao wameshakuwa wafanyabiashara wakubwa, watu wa aina hii hawafai kuongoza frontline politics, wanatakiwa kuwa wafadhili wa harakati. Lissu anafaa kuwa kiongozi wa upinzani. Lissu hana kazi tofauti na siasa and he is fearless. Mbowe ni CCM's favorite opposition leader.
 
Exactly, cdm wasipomtoa Mbowe biashara Yao imeisha.
 
..vyovyote utakavyochukulia kura za Cdm zingeongezeka kama Lowassa angekuwa na uwezo wa kufanya kampeni.
Unamaanisha zingeongezeka tu ila sio kumpa ushindi sio ?
 
..vyovyote utakavyochukulia kura za Cdm zingeongezeka kama Lowassa angekuwa na uwezo wa kufanya kampeni.
CCM walisema Lowassa kapata 39% lakini 2020 Shujaa hakutaka Uchaguzi 😂😂

Amekwenda na Ushindi wake!
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema hakuunga mkono Hayati Edward Lowassa kuwa mgombea wa urais kwenye chama hicho, bali alitaka akijiunga CHADEMA awe mwanachama wa kawaida.

Baada ya kuwapa ushindi mnono na mkapotea kabisa. CHADEMA ilipoteza Ground Political Stand yao
 
M
Haya ndo mambo tunayohitaji Watanzania tuliowengi mitazamo ya kabla na baada ya kifo itazamwe kwà mtazamo chanya.Hapa Mnyika amenifurahisha sana pia kwà kuwa n
Smwana kaskazini mwenzetu tutaendelea kuheshimu mawàzo lkn sio MAKONDA Msukuma

John mnyika ni msukuma pia sio wa kaskazini
Lowassa aliletwa Chadema na Mbowe, iweje useme ni maamuzi ya watu wengi kwenye chama chako.?
 
Haya ndo mambo tunayohitaji Watanzania tuliowengi mitazamo ya kabla na baada ya kifo itazamwe kwà mtazamo chanya.Hapa Mnyika amenifurahisha sana pia kwà kuwa ni mwana kaskazini mwenzetu tutaendelea kuheshimu mawàzo lkn sio MAKONDA Msukuma

Mnyika ni msukuma sio mtu wa kaskazini
 
Back
Top Bottom