John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

jambo jema sana kuchunguza.SHIDA ni double standard!!
 
Michango ya wanachama si mali ya umma, ukisema mali ya umma hata ya harusi, sadaka na misiba ni mali ya umma! PCCCB inachofanya ni chuki ya kisiasa, ingechunguza vyama vyote ingekuwa sahihi, na wangechunguza michango ya tetemeko la Kagera ningewasifu, na michango ya wanafunzi wa Arusha ningewaelewa, swali, kwanini Chadema tu? Ni chuki iliyowazi.
 
Pole,leo umeonyesha upuuzi wako.
 
Haijawahi kutokea Joto la uchaguzi kushuka kwa haraka muda mfupi baada ya uchaguzi kama kipindi hiki

Sielewi kwanini
Ni wazi confrontation haina tija na wananchi wengi wamekaa kimya.Hili si jambo jema sana na tumeanza kuona hata walioshinda hawana furaha.
 
Wapinzani wanapinga tu kijani wao awataki kufatiliwa
#mitanotena
 
Trilioni 1.5 umesahau mkuu au tuseme Krilioni 1.5

Nasema uongo ndugu zangu?
Hata kama mifuko ya jimbo imetia hasara nadhani wangeanza kudeal na EPA, Richmond, Kagoda, Meremeta, Dowans, IPTL wakiburuzwa kortini wahusika wa hapo tutaenda sambamba sasa!
 
Hao takukuru wanafanyaJe kwa Ccm iliyopata hati chafu ?!. Double standard at work . Wanamfurahisha nani huyo ?!.
 
nkese sababu unao ushahidi wa hayo unayoyasema basi jilipue uweke ushahidi hadharani kama Waitara. Pia fika ofisi za Pccb ili ulisaidie taifa lako kupambana na ubadhirifu.
Mpaka ajitoe mhanga ?!. Huku Cdm takukuru wakiahidi kuwashughulikia ?!

Hoja ya huyo bwana huwezi kuijibu !! Nakuambia hata ofisi 1 haiwezi kuijibu
 
Mpaka ajitoe mhanga ?!. Huku Cdm takukuru wakiahidi kuwashughulikia ?!

Hoja ya huyo bwana huwezi kuijibu !! Nakuambia hata ofisi 1 haiwezi kuijibu
Nakuambia Jaduong huyu jamaa hana hoja. Kama kweli kuna ufisadi kila kitu kingekuwa wazi. Kujito mhang ni procedure tu.
 
Zilishatolewa maelezo ?!aduong yaani CAG aibue hoja isijibiwe? Mbona CUf kuhamisha pesa walijibu kutoka account ya Cuf hadi accoung ya mwanachama. Mbona hamuhoji?
Jaduong CAG aibue hoja isitolewe majibu? Mbona Cuf walihamisha pesa kwenda kwenya account ya mtu binafsi hamkuhoji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…