John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

Kuhusisha suala la wabunge 19 wa Cdm na Pccb ni kufanya makosa.Maana unakuwa unapapasa kitu ambacho huna uhalisia nacho bali unahiisi tu.

Ripoti ya mali za Ccm ilipokamilika hakuna hatua zilizochukuliwa?

Hatua gani zilichukuliwa? Maana Bashiru alisema atawataja kwa majina na kuwafikisha mahakamani. Nani alipelekwa mahakamani kwa kumiliki mali za ccm?

Nasema Hivi, hao Pccb ni sehemu ya rushwa kuenea nchi hii, na wala hawana lolote zaidi ya kutumikishwa kwenye siasa chafu.
 
Kwako wizi na utapeli huu ni sahihi! Tumefaidika nini na hawa unaowatetea? Kama anayewapinga wapigaji hawa unamuona ni mvuta bangi! Itakuwa nawe ulishiriki kwenye wizi huu.
Mwizi mama yako shuwaini we
 
Back
Top Bottom