Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 157
- 155
Ni maamuzi sahihi kabisa. Nafasi zote zijazwe, chadema ina wanachama wengi, naamini damu mpya zitajitokeza kuwania nafasi hizi.Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No Reform, No Election".
Agizo hili limetolewa leo Alhamisi Mei 15 mjini Bariadi wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika viwanja vya Salunda.
Mnyika ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa ombwe la baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho kujivua uanachama na wengine kufukuzwa kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kukiuka kwa msimamo huo wa chama hicho.
“Sekretarieti ya chama na viongozi wa mikoa na wilaya waandae utaratibu wa haraka wa kujaza nafasi hizo kwa mujibu wa Katiba na kanuni za chama,”amesema.
Amesema kuwa kuwe na vikao maalum vya chama hicho katika ngazi zote ili kufanya tathmini ya pengo lililopo na kupendekeza majina ya viongozi wapya.
Alisisitiza kuwa kujaza nafasi hizo ni hatua muhimu ya kukijenga tena chama, kuimarisha muundo wake na kuhakikisha CHADEMA inabaki kuwa sauti madhubuti ya upinzani na mabadiliko nchini.
Katika mkutano huo, Mnyika alisisitiza kuwa CHADEMA itaendelea na msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi wowote hadi marekebisho ya msingi ya mfumo wa uchaguzi yatakapofanyika.
Msimamo huu umeungwa mkono na maamuzi ya vikao halali vya chama na umewasilishwa rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa.
"Huu ni msimamo wa chama kupitia vikao halali na tunashukuru wananchi wanavyotunga mkono kila mahali tunapofanya mikutano yetu ili kutoa ufafanuzi wa msimamo huu,"amesema.
Amesema pamoja na changamoto hizi, CHADEMA inaendelea na kampeni zake za kitaifa kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa marekebisho ya uchaguzi, ikiwa ni pamoja na mikutano ya hadhara ili kushinikiza serikali kutekeleza mabadiliko yanayohitajika kwa uchaguzi huru na wa haki.
Naye Mwenyekiti wa Bawacha,Kanda ya Serengeti,Rosemary Kirigini amesema kuwa kutokana na wananchi kuwaunga mkono katika msimamo huo ndiyo maana serikali inatumia jeshi la polisi kuhakikisha wanahujumu mikutano yao.
"Tunawashuru wananchi kutuinga mkono na wakiona mikutano yetu ambayo wananchi mnaitikia kuja kwa wingi kutusikiliza ndiyo maana wanatumia jeshi la polisi kutuhujumu kama walivyofanya hapa Simiyu kutunyima viwanja vya mkutano lakini tumekuja huku nje ya mji na wananchi mmekuja,"
"Nimshauri Rais Samia aitishe meza ya mazungumzo ili wananchi waweze kufanya uchaguzi huru na haki lakini katika mazingira haya sisi tunazuia uchaguzi wala hatuususii,"amesema.
Godbless Lema ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho amesema kuwa wanaojiondoa kwenye chama hicho ni vizuri wakaondoka kwani huo ni mkakati wa serikalo na CCM kutaka kuiua chadema lakini hawatafanikiwa kwani chama hicho kimo kwenye mioyo ya Watanzania.
"Chadema iko kwenye mioyo ya watu huwezi kudhani utaiua kwa mikakati ya kuwapa watu fedha ili wahame,wengine hawawezi kutununua maana hatufiki bei tutaendelea kuwapambania wananchi ili wapate haki zao za msingi kupitia jasho letu,tunaomba muendelee kutuunga mkono,"amesema.
View attachment 3335154View attachment 3335156
Hapo hapo shikilieniKatibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No Reform, No Election".

Huwezi kuwapangia mkakati. Na hawaamui kwa pamoja.Mnielekeze kwa upole tu hivi Hawa wanao jiondoa CHADEMA mbona wanajitoa kwa makundi makundi kwanini hawatangazi siku Moja kuwa tumejitoa wote hiii ya kutangaza kwa awanu imekuwaje?
Ndivyo wanavyoelekezwa na wanaowalipaMnielekeze kwa upole tu hivi Hawa wanao jiondoa CHADEMA mbona wanajitoa kwa makundi makundi kwanini hawatangazi siku Moja kuwa tumejitoa wote hiii ya kutangaza kwa awanu imekuwaje?
Hapana.Alisisitiza kuwa kujaza nafasi hizo ni hatua muhimu ya kukijenga tena chama, kuimarisha muundo wake na kuhakikisha CHADEMA inabaki kuwa sauti madhubuti ya upinzani na mabadiliko nchini.
Sinema mbovu iliyoandaliwa na mabwawa wao CCM ndo inawafanya wafanye hayoMnielekeze kwa upole tu hivi Hawa wanao jiondoa CHADEMA mbona wanajitoa kwa makundi makundi kwanini hawatangazi siku Moja kuwa tumejitoa wote hiii ya kutangaza kwa awanu imekuwaje?
Wakijiondoa kwa pamoja siku moja, habari yao inaishia siku hiyo hiyo moja, wanasahaulika. Sasa wanaendelea kila siku ili watu wasiwasahau!Mnielekeze kwa upole tu hivi Hawa wanao jiondoa CHADEMA mbona wanajitoa kwa makundi makundi kwanini hawatangazi siku Moja kuwa tumejitoa wote hiii ya kutangaza kwa awanu imekuwaje?
Kawaida rushwa hugawiwa kimafungu mafunguMnielekeze kwa upole tu hivi Hawa wanao jiondoa CHADEMA mbona wanajitoa kwa makundi makundi kwanini hawatangazi siku Moja kuwa tumejitoa wote hiii ya kutangaza kwa awanu imekuwaje?
Hawafukuzwi bali wanajiuzuru nafasi hadi uanachama.Hapana.
CHADEMA haiwezi kuwa na lengo la "kubaki kuwa sauti madhubuti ya upinzani...". Hili lirekebishwe mara moja.
Sawa mumeo ndiye Katibu MkuuMnyika sio Katibu Mkuu wa Chadema.
Wasije wakaingiza mapandikizi yawasumbue hapo baadaeKatibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, ametoa agizo la kujazwa kwa nafasi zote zilizoachwa wazi na viongozi waliojiondoa kwenye chama hicho, ili kuimarisha uongozi na kuendeleza kampeni yao ya "No Reform, No Election".
Agizo hili limetolewa leo Alhamisi Mei 15 mjini Bariadi wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika viwanja vya Salunda.
Mnyika ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwa ombwe la baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho kujivua uanachama na wengine kufukuzwa kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kukiuka kwa msimamo huo wa chama hicho.
“Sekretarieti ya chama na viongozi wa mikoa na wilaya waandae utaratibu wa haraka wa kujaza nafasi hizo kwa mujibu wa Katiba na kanuni za chama,”amesema.
Amesema kuwa kuwe na vikao maalum vya chama hicho katika ngazi zote ili kufanya tathmini ya pengo lililopo na kupendekeza majina ya viongozi wapya.
Alisisitiza kuwa kujaza nafasi hizo ni hatua muhimu ya kukijenga tena chama, kuimarisha muundo wake na kuhakikisha CHADEMA inabaki kuwa sauti madhubuti ya upinzani na mabadiliko nchini.
Katika mkutano huo, Mnyika alisisitiza kuwa CHADEMA itaendelea na msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi wowote hadi marekebisho ya msingi ya mfumo wa uchaguzi yatakapofanyika.
Msimamo huu umeungwa mkono na maamuzi ya vikao halali vya chama na umewasilishwa rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa.
"Huu ni msimamo wa chama kupitia vikao halali na tunashukuru wananchi wanavyotunga mkono kila mahali tunapofanya mikutano yetu ili kutoa ufafanuzi wa msimamo huu,"amesema.
Amesema pamoja na changamoto hizi, CHADEMA inaendelea na kampeni zake za kitaifa kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa marekebisho ya uchaguzi, ikiwa ni pamoja na mikutano ya hadhara ili kushinikiza serikali kutekeleza mabadiliko yanayohitajika kwa uchaguzi huru na wa haki.
Naye Mwenyekiti wa Bawacha,Kanda ya Serengeti,Rosemary Kirigini amesema kuwa kutokana na wananchi kuwaunga mkono katika msimamo huo ndiyo maana serikali inatumia jeshi la polisi kuhakikisha wanahujumu mikutano yao.
"Tunawashuru wananchi kutuinga mkono na wakiona mikutano yetu ambayo wananchi mnaitikia kuja kwa wingi kutusikiliza ndiyo maana wanatumia jeshi la polisi kutuhujumu kama walivyofanya hapa Simiyu kutunyima viwanja vya mkutano lakini tumekuja huku nje ya mji na wananchi mmekuja,"
"Nimshauri Rais Samia aitishe meza ya mazungumzo ili wananchi waweze kufanya uchaguzi huru na haki lakini katika mazingira haya sisi tunazuia uchaguzi wala hatuususii,"amesema.
Godbless Lema ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho amesema kuwa wanaojiondoa kwenye chama hicho ni vizuri wakaondoka kwani huo ni mkakati wa serikalo na CCM kutaka kuiua chadema lakini hawatafanikiwa kwani chama hicho kimo kwenye mioyo ya Watanzania.
"Chadema iko kwenye mioyo ya watu huwezi kudhani utaiua kwa mikakati ya kuwapa watu fedha ili wahame,wengine hawawezi kutununua maana hatufiki bei tutaendelea kuwapambania wananchi ili wapate haki zao za msingi kupitia jasho letu,tunaomba muendelee kutuunga mkono,"amesema.
View attachment 3335154View attachment 3335156
Mimi sijawatetea hao, na wala nilicho andika hakihusiani kabisa nao. Ulivyo ni'quote' ni wazi hukuelewa nilicholenga kukielezea.Hawafukuzwi bali wanajiuzuru nafasi hadi uanachama.
Tusiwe kama ccm, ku recycle watu wale wale kila siku kututawala, nchi hii ina watu milioni 62 haiwezekani kumbembeleza mtu anayejivua uanachama aendelee kuwa kiongozi wa nafasi ya kichama.
Waachwe waondoke wengine waingie.
Ndio zao la zile bilion 15 walizoomba Usalama wa taifa ?Sinema mbovu iliyoandaliwa na mabwawa wao CCM ndo inawafanya wafanye hayo