PreGE2025 John Mnyika: Viongozi wa Chadema waliojiondoa kwenye chama nafasi zao kuzibwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni mtu mmoja aliyekuwa kiongozi anahama na wafuasi wa kutengenezwa kutoka ccm, haina madhara. Ni kujaza as soon as possible nafasi hizo na maisha yaendelee Erythrocyte
 
Mnielekeze kwa upole tu hivi Hawa wanao jiondoa CHADEMA mbona wanajitoa kwa makundi makundi kwanini hawatangazi siku Moja kuwa tumejitoa wote hiii ya kutangaza kwa awanu imekuwaje?
huwa wanasubiri kwanza SMS ya muamala isome

sasa inaelekea wanaingiziwa pesa kwa mafungu!
 
Hamnaga mtu special duniani wala pengo lisilizibika waende salama na maisha yanaendelea! Alitoka katibu mkuu na wabunge itakua wabaingaizaji hawa?
 
Chadema itakuwa Chaumma ndani ya Lissu na Chaumma itakuwa Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…