Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
"Uongozi mpya ulipoingia kabla ya kuanza tukasema tujifungie Bagamoyo na tuliamua kabla viongozi wapya hatujaanza tukae kwanza na viongozi waliokuwepo madarakani wa kitaifa, na kabla ya viongozi waliokuwa madarakani wa kitaifa, Mwenyekiti aliyekuwepo, Makamu wenyeviti waliokuwepo kabla ya hatua hiyo, Katibu Mkuu nikae na sekretarieti iliyomaliza muda wake na ile mpya ili tupate uelekeo wa pamoja," - John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Viongozi wenzetu wengi wao na baadhi yao wakatuomba kwamba wangependa tuwaache wapumzike, na sisi tunaheshimu msimamo wao wachache tukakutana nao na kwa kweli tukaamua namna ya kusonga mbele pamoja. Sasa hivi karibuni wamejitokeza wachache waliokuwa sekretarieti ambao mimi nilikuwa Mwenyekiti wao wakisema kwamba wanaondoka CHADEMA kwa sababu kuna ubaguzi, udikteta, vikao havikai mnajua watu tunawaita kwenye vikao vyote ," - John Mnyika