PreGE2025 John Mnyika: Waliojivua unachama wa CHADEMA, tuliwaita ila wakasema tuwaache wapumzike

PreGE2025 John Mnyika: Waliojivua unachama wa CHADEMA, tuliwaita ila wakasema tuwaache wapumzike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Spinning tu. Kwa nini hakuyasema haya kabla? Na kwa maneno yanayosemwa na viongozi wenzake, ni dhahiri kuwa wanalosema G55 ni la kweli. Mbona alikuwa kimya toka walipotoa waraka wao? Mnyika ameshindwa kweli kukaa na Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema na wengine kuzungumzia hisia zao? Ameshindwa kukemea lugha za kejeli zinazotumika dhidi ya hawa ambao naamini baadhi walikuwa rafiki zake. Anachofanya ni 'victim blaming' badala ya kumshughulia tembo aliyeingia sebuleni. Au hakutarajia kuwa wataondoka?

Anakuwa kama Lema ambae baada ya uchaguzi uliojaa kejeli na character assassination dhidi ya yule aliyekuwa anadai kuwa ni ndugu yake akatoa wazo kuwa Mwenyekiti aliyeshindwa anunuliwe SUV! Hiki ni kitanda walichotandika, inabidi tu wakilalie.

Amandla...
Mzee acha kuumiza kichwa wenzako wamevuta pesa toka ccm na madalali wa michongo ni Mbowe na wenje lengo lenu ni kuudhofisha chadema mpya kisha mfanye mapinduzi kama yale ya Lipumba mrejeshe Mbowe kuwa mwenyekiti kwa njia haramu za kishetani
 
Wote hao waroho wa madaraka. Kulima hawataki,biashara hawawezi, posho zimekata sasa wanapagawa
Huu mwaka utawakalia vibaya sana wanasiasa baadhi yao na sio CDM tu hata CCM
Kuna madalali wa ccm kuna madalali wa chadema wakiongozwa na mbowe, huo muungano wa madalali wa siasa unapiga pesa kwa njia haramu za kishetani wakiamini kuwa chadema itakufa ili wamrejeshe mbowe kuwa mwenyekiti tena
 
Una maimumivu sana ya kumuua Thadei Ole Mushi ukitegenea ungetoboa kimaisha matokeo yake umeishia kulawitiwa usiku na mchana hata hiyo fedha uliyolipwa huifaidi tena , laana qoum.
Huyu mwamba mbona umemkomalia sana, hivi kweli ni *****? Ila laana ya kumchomesha Mangi mwenzie haitamwacha salama.
 
Mzee acha kuumiza kichwa wenzako wamevuta pesa toka ccm na madalali wa michongo ni Mbowe na wenje lengo lenu ni kuudhofisha chadema mpya kisha mfanye mapinduzi kama yale ya Lipumba mrejeshe Mbowe kuwa mwenyekiti kwa njia haramu za kishetani
Mna ushahidi gani? Zote hizo ni speculations, maneno ya kijiweni. Mlianza kwa fitna hivyo hamtaweza kuacha fitna.

Amandla...
 
Spinning tu. Kwa nini hakuyasema haya kabla? Na kwa maneno yanayosemwa na viongozi wenzake, ni dhahiri kuwa wanalosema G55 ni la kweli. Mbona alikuwa kimya toka walipotoa waraka wao? Mnyika ameshindwa kweli kukaa na Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema na wengine kuzungumzia hisia zao? Ameshindwa kukemea lugha za kejeli zinazotumika dhidi ya hawa ambao naamini baadhi walikuwa rafiki zake. Anachofanya ni 'victim blaming' badala ya kumshughulia tembo aliyeingia sebuleni. Au hakutarajia kuwa wataondoka?

Anakuwa kama Lema ambae baada ya uchaguzi uliojaa kejeli na character assassination dhidi ya yule aliyekuwa anadai kuwa ni ndugu yake akatoa wazo kuwa Mwenyekiti aliyeshindwa anunuliwe SUV! Hiki ni kitanda walichotandika, inabidi tu wakilalie.

Amandla...

Wewe labda huna kumbukumbu au ni mnafiki. Hujui kuwa kutokana na waraka wa G55, katibu mkuu aliitisha kikao cha waliokuwa wagombea wote wa ubunge 2020 na watia nia wa ubunge 2025? Waulize hao madalali wako G55, walitokea kwenye kikao?
 
Una maimumivu sana ya kumuua Thadei Ole Mushi ukitegenea ungetoboa kimaisha matokeo yake umeishia kulawitiwa usiku na mchana hata hiyo fedha uliyolipwa huifaidi tena , laana qoum.
Kumbe jamaa anapiga pipe huyu daily?🥲🥲
 
Huyu mwamba mbona umemkomalia sana, hivi kweli ni *****? Ila laana ya kumchomesha Mangi mwenzie haitamwacha salama.
Ndugu wa Marehemu waliona kumuua na yeye bado hatateseka wakaamua kumgeuza ***** watu wanajipigia tu kama pombe ya ngomani.
 
Spinning tu. Kwa nini hakuyasema haya kabla? Na kwa maneno yanayosemwa na viongozi wenzake, ni dhahiri kuwa wanalosema G55 ni la kweli. Mbona alikuwa kimya toka walipotoa waraka wao? Mnyika ameshindwa kweli kukaa na Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema na wengine kuzungumzia hisia zao? Ameshindwa kukemea lugha za kejeli zinazotumika dhidi ya hawa ambao naamini baadhi walikuwa rafiki zake. Anachofanya ni 'victim blaming' badala ya kumshughulia tembo aliyeingia sebuleni. Au hakutarajia kuwa wataondoka?

Anakuwa kama Lema ambae baada ya uchaguzi uliojaa kejeli na character assassination dhidi ya yule aliyekuwa anadai kuwa ni ndugu yake akatoa wazo kuwa Mwenyekiti aliyeshindwa anunuliwe SUV! Hiki ni kitanda walichotandika, inabidi tu wakilalie.

Amandla...
Wee fala, moja ya watu walioenda Bagamoyo ni Boni Yai, Sugu na Martin. Huoni tofauti yao hapo kabla na baada? Sasa uongo wa Mnyika uko wapi? Mrema na Kinabo wao waliona hawawezi kuishi bila tonge wakaona kuna mbadala. Acha waishi wapendavyo.
 
Wewe labda huna kumbukumbu au ni mnafiki. Hujui kuwa kutokana na waraka wa G55, katibu mkuu aliitisha kikao cha waliokuwa wagombea wote wa ubunge 2020 na watia nia wa ubunge 2025? Waulize hao madalali wako G55, walitokea kwenye kikao?
Kikao kilikuwa cha watia nia na hakikuwa na lengo la ku adress malalamiko yao. Unapoita kikao kama hicho, halafu unajaza watu wa press lazima watu waone kuwa nia haikuwa kuwasikiliza bali kuwasulubu. Na ndivyo ilivyokuwa. Kiongozi yeyote anajua kuwa vikao vinaanza ndani na mnapofikia muafaka ndio mnaita press. Hasa vile vinavyohusu vitu sensitive kama hivi. Wale walikuwa viongozi wenzake kwa muda mrefu, alishindwa nini kukaa nao, hata nje ya ofisi na kuwauliza kulikoni? Kiburi au uoga wa kuwakasirisha maboss wake ndio vimemfikisha hapa.

Wamezusha kuwa Mbowe anahamia Chaumma pamoja na G55 yake halafu wanasema wameongea nae na amekana uzushi ambao waliuanzisha wao wenyewe. Hawa ni watu wa ajabu sana.

Amandla...
 
Wee fala, moja ya watu walioenda Bagamoyo ni Boni Yai, Sugu na Martin. Huoni tofauti yao hapo kabla na baada? Sasa uongo wa Mnyika uko wapi? Mrema na Kinabo wao waliona hawawezi kuishi bila tonge wakaona kuna mbadala. Acha waishi wapendavyo.
Kwa sababu umeanza na lugha ya vijana wa CDM wa sasa sitakujibu na nitakuweka kwenye ignore list yangu ili nisione bandiko lako lolote.

Amandla...
 
"Uongozi mpya ulipoingia kabla ya kuanza tukasema tujifungie Bagamoyo na tuliamua kabla viongozi wapya hatujaanza tukae kwanza na viongozi waliokuwepo madarakani wa kitaifa, na kabla ya viongozi waliokuwa madarakani wa kitaifa, Mwenyekiti aliyekuwepo, Makamu wenyeviti waliokuwepo kabla ya hatua hiyo, Katibu Mkuu nikae na sekretarieti iliyomaliza muda wake na ile mpya ili tupate uelekeo wa pamoja," - John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Viongozi wenzetu wengi wao na baadhi yao wakatuomba kwamba wangependa tuwaache wapumzike, na sisi tunaheshimu msimamo wao wachache tukakutana nao na kwa kweli tukaamua namna ya kusonga mbele pamoja. Sasa hivi karibuni wamejitokeza wachache waliokuwa sekretarieti ambao mimi nilikuwa Mwenyekiti wao wakisema kwamba wanaondoka CHADEMA kwa sababu kuna ubaguzi, udikteta, vikao havikai mnajua watu tunawaita kwenye vikao vyote ," - John Mnyika
Yale yote ni madebe matupu
Wala hata wasingehangaika kuyaita

Kwanza hayana impact yoyote.
Yalidhani yatatikisa nchi kama wenzao akija Mdee...matokeo yake yamebwabwaja hata sisi wananchi wa kawaida tusio na vyama tukawa tunashangaa wanavyoanika ujinga wao.
Wengi hata sura za siasa hawana.

Wakatafute chama chao kingine watakwchoenda kuwa huru.
Chadema mkirudisha tena haya makapi mtapoteza imani kwa wananchi wazalendo ambao wamekwisha anza kuwaamini kwa wingi.
 
Ukijifunza kuhusu political science utaona namna ambavyo uelewa wako kuhusu siasa unatia mashaka.

Hii ni mass exodus - inatengeneza confusion nje pamoja na panic within the party.

Hauwezi kusema kuondoka kwa waliokuwa Deputy SGs kuwa haina nadhara. Kuna makundi mawili ya wahanga hapa. Kuna die hard fan wa CDM hawa hawataathirika. (Hawa ndiyo kina wewe - hawa watakufa na tai shingoni) then kuna undecided group na wale bendera fata upepo (hawa ni wengi sana) drama za namna hii huwaondoa mchezoni kirahisi. Hili ndio kundi muhimu zaidi kwenye scope ya siasa.. vyama vyote huligombania

Inaonekana hii pressure itaendelea hivi kwa muda mrefu na kuna baadhi ambao wako kwenye msafara sasa wataondoka ili kuua kabisa. Ma CCM yana mbinu nyingi sana (sasa yamemrejeshea Dkt Slaa baada ya kumtoa at a crucial time - imagine combination ya Lowasa na Slaa????) na mini naamini Slaa sio mpinzani wa kweli.

Changamoto ni nini? Bado Watanzania hawana inani na upinzani. Upinzani tulipewa na Nyerere (refurundum haikuwa in favour ya opposition). Kazi kubwa kuliko zote hata kabla ya kuwaza dola au NRNE ni kuwafanya watanzania waamini kuwa upinzani una maana kwao...

Bila kufanya hivyo nadhani itakuwa ni makelele tu na CCM will always be happy about it. Nadhani FAM alijifunza how to deal with CCM ili utengeneze long lasting impact bahati mbaya wenzake walikuwa radical kiasi.

Ni muhimu pia kukumbuka CDM ni chama moderate... huku kuwa radical kwa sasa kama ilivyokuwa CUF ile hakutakuwa na afya. CDM inajulikana kwa reasoning, siasa za majukwaani zenye tija (sio kutukana tukana) saizi unasikia vijana wadogo kama kina mahinyila wanamuadress Rais kwa Jina. Huwezi kumsikia JJ Mnyika akimuadress Rais kwa jina moja (ni nadra sana - nimemsikia pia jana Kagera which is nice). Kukifanya chama kuwa radical will only do harm. Kushindwa kumanage migogoro ni hatari zaidi kwenye ustawi wa chama cha siasa.
 
Back
Top Bottom