PreGE2025 John Mnyika: Waliojivua unachama wa CHADEMA, tuliwaita ila wakasema tuwaache wapumzike

PreGE2025 John Mnyika: Waliojivua unachama wa CHADEMA, tuliwaita ila wakasema tuwaache wapumzike

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Eti uongozi uliopita hauunganishi chama huku wakijiweka pembeni....
 
Mnyika anapaswa kuwa na moyo wa kuwashauri viongozi wake kuwa hii hali haina tija kwa chama chao. Kila mtu anaona yanayoendelea nje na ndani ya chama chake. G55 ni watu aliokuwa karibu nao. Alitakiwa kupigania ili watendewe haki ndani ya chama chake.

Amandla...
Kwani Mbona kaishawafanyia wema kwa kuamuwa kukaa kimya kutokusema wao ndio waliowapeleka covid 19 mbungeni?
 
Kwa sababu umeanza na lugha ya vijana wa CDM wa sasa sitakujibu na nitakuweka kwenye ignore list yangu ili nisione bandiko lako lolote.

Amandla...
Mimi kuwekwa ignore na wewe umeona dili sana? Kazi kutetea wehu tu!
 
Sahau.

Angebwagwa kwenye sinia la pilau angekua now ni G55

Wanasiasa wengi ujali tumbo zao

Hata hawa akina Lema wangeshaondoka Chadema wangeshindwa
Mbona alisusa alipoletwa lowassa ila hakuhama...... same to alipoletwa mashinji alisusa kabisa hadi bungeni alikua haiingii ila bado hakuhama.

Mnyika ni asset ya chadema na ndio mwenyekiti wa hapo mbeleni so hawezi kuondoka leo wala kesho.
 
Back
Top Bottom