Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ndio sababu mkaamua mumuue Kitima siyo?Mnyika nae mule mule tu
Vile kapewa ukatibu nae angesepa😂
Kilichombeba Ni maelekezo ya Kitima na Katoliki
Kafa?Ndio sababu mkaamua mumuue Kitima siyo?
John John Mnyika shikilia hapo hapo. Watakuchukia, Lakini shikilia hapo hapo. Wee ni mchungaji. Wewe una maono. G 55 ni wale 19 waliokusingizia. Uwe na moyo wa kuzuia kondoo wasitawanyike."Uongozi mpya ulipoingia kabla ya kuanza tukasema tujifungie Bagamoyo na tuliamua kabla viongozi wapya hatujaanza tukae kwanza na viongozi waliokuwepo madarakani wa kitaifa, na kabla ya viongozi waliokuwa madarakani wa kitaifa, Mwenyekiti aliyekuwepo, Makamu wenyeviti waliokuwepo kabla ya hatua hiyo, Katibu Mkuu nikae na sekretarieti iliyomaliza muda wake na ile mpya ili tupate uelekeo wa pamoja," - John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Viongozi wenzetu wengi wao na baadhi yao wakatuomba kwamba wangependa tuwaache wapumzike, na sisi tunaheshimu msimamo wao wachache tukakutana nao na kwa kweli tukaamua namna ya kusonga mbele pamoja. Sasa hivi karibuni wamejitokeza wachache waliokuwa sekretarieti ambao mimi nilikuwa Mwenyekiti wao wakisema kwamba wanaondoka CHADEMA kwa sababu kuna ubaguzi, udikteta, vikao havikai mnajua watu tunawaita kwenye vikao vyote ," - John Mnyika
Una maimumivu sana ya kumuua Thadei Ole Mushi ukitegenea ungetoboa kimaisha matokeo yake umeishia kulawitiwa usiku na mchana hata hiyo fedha uliyolipwa huifaidi tena , laana qoum.Mnyika nae mule mule tu
Vile kapewa ukatibu nae angesepa😂
Kilichombeba Ni maelekezo ya Kitima na Katoliki
Spinning tu. Kwa nini hakuyasema haya kabla? Na kwa maneno yanayosemwa na viongozi wenzake, ni dhahiri kuwa wanalosema G55 ni la kweli. Mbona alikuwa kimya toka walipotoa waraka wao? Mnyika ameshindwa kweli kukaa na Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema na wengine kuzungumzia hisia zao? Ameshindwa kukemea lugha za kejeli zinazotumika dhidi ya hawa ambao naamini baadhi walikuwa rafiki zake. Anachofanya ni 'victim blaming' badala ya kumshughulia tembo aliyeingia sebuleni. Au hakutarajia kuwa wataondoka?"Uongozi mpya ulipoingia kabla ya kuanza tukasema tujifungie Bagamoyo na tuliamua kabla viongozi wapya hatujaanza tukae kwanza na viongozi waliokuwepo madarakani wa kitaifa, na kabla ya viongozi waliokuwa madarakani wa kitaifa, Mwenyekiti aliyekuwepo, Makamu wenyeviti waliokuwepo kabla ya hatua hiyo, Katibu Mkuu nikae na sekretarieti iliyomaliza muda wake na ile mpya ili tupate uelekeo wa pamoja," - John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Viongozi wenzetu wengi wao na baadhi yao wakatuomba kwamba wangependa tuwaache wapumzike, na sisi tunaheshimu msimamo wao wachache tukakutana nao na kwa kweli tukaamua namna ya kusonga mbele pamoja. Sasa hivi karibuni wamejitokeza wachache waliokuwa sekretarieti ambao mimi nilikuwa Mwenyekiti wao wakisema kwamba wanaondoka CHADEMA kwa sababu kuna ubaguzi, udikteta, vikao havikai mnajua watu tunawaita kwenye vikao vyote ," - John Mnyika
Mnyika anapaswa kuwa na moyo wa kuwashauri viongozi wake kuwa hii hali haina tija kwa chama chao. Kila mtu anaona yanayoendelea nje na ndani ya chama chake. G55 ni watu aliokuwa karibu nao. Alitakiwa kupigania ili watendewe haki ndani ya chama chake.John John Mnyika shikilia hapo hapo. Watakuchukia, Lakini shikilia hapo hapo. Wee ni mchungaji. Wewe una maono. G 55 ni wale 19 waliokusingizia. Uwe na moyo wa kuzuia kondoo wasitawanyike.
Kwani Mbowe kaenda Gerezani kukutembelea Lisu? Mbowe ndiyo mtengeneza sinema hii kwani sasa kawa Dalali wa siasa kaamu kula pesa za ccm na chawa wake wakiamini wataidhoofisha chadema kisha arejee kuwa mwenyekiti wa chadema kwa njia haramu za kishetaniWauane tu
Chadem ni kikundi cha ugaidi
Unawazaririsha wakina Massawe ninaowajua ni vichwa sana aisee wewe masawe wa wapi upo hivyo..Wauane tu
Chadem ni kikundi cha ugaidi
Huyo ni Masawe rafiki wa Herry mzee wa Tindikali kule Tabora ni vijana wa mbowe wanasifika kwa kuwa na Roho mbaya sanaUnawazaririsha wakina Massawe ninaowajua ni vichwa sana aisee wewe masawe wa wapi upo hivyo..
Atakua kajipachika majina mkuu pana Masawe mmoja nafanya nae biashara yupo karikaoo ana akili sana na mwingine ni bwana mdogo tu yupo Arusha vile vile nikasema huyu Masawe wa wapi maana ni kama hamna kitu kabisaa...Huyo ni Masawe rafiki wa Herry mzee wa Tindikali kule Tabora ni vijana wa mbowe wanasifika kwa kuwa na Roho mbaya sana