Mzee acha kuumiza kichwa wenzako wamevuta pesa toka ccm na madalali wa michongo ni Mbowe na wenje lengo lenu ni kuudhofisha chadema mpya kisha mfanye mapinduzi kama yale ya Lipumba mrejeshe Mbowe kuwa mwenyekiti kwa njia haramu za kishetaniSpinning tu. Kwa nini hakuyasema haya kabla? Na kwa maneno yanayosemwa na viongozi wenzake, ni dhahiri kuwa wanalosema G55 ni la kweli. Mbona alikuwa kimya toka walipotoa waraka wao? Mnyika ameshindwa kweli kukaa na Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema na wengine kuzungumzia hisia zao? Ameshindwa kukemea lugha za kejeli zinazotumika dhidi ya hawa ambao naamini baadhi walikuwa rafiki zake. Anachofanya ni 'victim blaming' badala ya kumshughulia tembo aliyeingia sebuleni. Au hakutarajia kuwa wataondoka?
Anakuwa kama Lema ambae baada ya uchaguzi uliojaa kejeli na character assassination dhidi ya yule aliyekuwa anadai kuwa ni ndugu yake akatoa wazo kuwa Mwenyekiti aliyeshindwa anunuliwe SUV! Hiki ni kitanda walichotandika, inabidi tu wakilalie.
Amandla...
Kuna madalali wa ccm kuna madalali wa chadema wakiongozwa na mbowe, huo muungano wa madalali wa siasa unapiga pesa kwa njia haramu za kishetani wakiamini kuwa chadema itakufa ili wamrejeshe mbowe kuwa mwenyekiti tenaWote hao waroho wa madaraka. Kulima hawataki,biashara hawawezi, posho zimekata sasa wanapagawa
Huu mwaka utawakalia vibaya sana wanasiasa baadhi yao na sio CDM tu hata CCM
Huyu mwamba mbona umemkomalia sana, hivi kweli ni *****? Ila laana ya kumchomesha Mangi mwenzie haitamwacha salama.Una maimumivu sana ya kumuua Thadei Ole Mushi ukitegenea ungetoboa kimaisha matokeo yake umeishia kulawitiwa usiku na mchana hata hiyo fedha uliyolipwa huifaidi tena , laana qoum.
Mna ushahidi gani? Zote hizo ni speculations, maneno ya kijiweni. Mlianza kwa fitna hivyo hamtaweza kuacha fitna.Mzee acha kuumiza kichwa wenzako wamevuta pesa toka ccm na madalali wa michongo ni Mbowe na wenje lengo lenu ni kuudhofisha chadema mpya kisha mfanye mapinduzi kama yale ya Lipumba mrejeshe Mbowe kuwa mwenyekiti kwa njia haramu za kishetani
Spinning tu. Kwa nini hakuyasema haya kabla? Na kwa maneno yanayosemwa na viongozi wenzake, ni dhahiri kuwa wanalosema G55 ni la kweli. Mbona alikuwa kimya toka walipotoa waraka wao? Mnyika ameshindwa kweli kukaa na Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema na wengine kuzungumzia hisia zao? Ameshindwa kukemea lugha za kejeli zinazotumika dhidi ya hawa ambao naamini baadhi walikuwa rafiki zake. Anachofanya ni 'victim blaming' badala ya kumshughulia tembo aliyeingia sebuleni. Au hakutarajia kuwa wataondoka?
Anakuwa kama Lema ambae baada ya uchaguzi uliojaa kejeli na character assassination dhidi ya yule aliyekuwa anadai kuwa ni ndugu yake akatoa wazo kuwa Mwenyekiti aliyeshindwa anunuliwe SUV! Hiki ni kitanda walichotandika, inabidi tu wakilalie.
Amandla...
Kumbe jamaa anapiga pipe huyu daily?š„²š„²Una maimumivu sana ya kumuua Thadei Ole Mushi ukitegenea ungetoboa kimaisha matokeo yake umeishia kulawitiwa usiku na mchana hata hiyo fedha uliyolipwa huifaidi tena , laana qoum.
Kitima na katoliki walimpa maelekezo yapi mkuu!?Mnyika nae mule mule tu
Vile kapewa ukatibu nae angesepaš
Kilichombeba Ni maelekezo ya Kitima na Katoliki
Ndugu wa Marehemu waliona kumuua na yeye bado hatateseka wakaamua kumgeuza ***** watu wanajipigia tu kama pombe ya ngomani.Huyu mwamba mbona umemkomalia sana, hivi kweli ni *****? Ila laana ya kumchomesha Mangi mwenzie haitamwacha salama.
Wee fala, moja ya watu walioenda Bagamoyo ni Boni Yai, Sugu na Martin. Huoni tofauti yao hapo kabla na baada? Sasa uongo wa Mnyika uko wapi? Mrema na Kinabo wao waliona hawawezi kuishi bila tonge wakaona kuna mbadala. Acha waishi wapendavyo.Spinning tu. Kwa nini hakuyasema haya kabla? Na kwa maneno yanayosemwa na viongozi wenzake, ni dhahiri kuwa wanalosema G55 ni la kweli. Mbona alikuwa kimya toka walipotoa waraka wao? Mnyika ameshindwa kweli kukaa na Mwalimu, Kigaila, Ruge, Mrema na wengine kuzungumzia hisia zao? Ameshindwa kukemea lugha za kejeli zinazotumika dhidi ya hawa ambao naamini baadhi walikuwa rafiki zake. Anachofanya ni 'victim blaming' badala ya kumshughulia tembo aliyeingia sebuleni. Au hakutarajia kuwa wataondoka?
Anakuwa kama Lema ambae baada ya uchaguzi uliojaa kejeli na character assassination dhidi ya yule aliyekuwa anadai kuwa ni ndugu yake akatoa wazo kuwa Mwenyekiti aliyeshindwa anunuliwe SUV! Hiki ni kitanda walichotandika, inabidi tu wakilalie.
Amandla...
Kikao kilikuwa cha watia nia na hakikuwa na lengo la ku adress malalamiko yao. Unapoita kikao kama hicho, halafu unajaza watu wa press lazima watu waone kuwa nia haikuwa kuwasikiliza bali kuwasulubu. Na ndivyo ilivyokuwa. Kiongozi yeyote anajua kuwa vikao vinaanza ndani na mnapofikia muafaka ndio mnaita press. Hasa vile vinavyohusu vitu sensitive kama hivi. Wale walikuwa viongozi wenzake kwa muda mrefu, alishindwa nini kukaa nao, hata nje ya ofisi na kuwauliza kulikoni? Kiburi au uoga wa kuwakasirisha maboss wake ndio vimemfikisha hapa.Wewe labda huna kumbukumbu au ni mnafiki. Hujui kuwa kutokana na waraka wa G55, katibu mkuu aliitisha kikao cha waliokuwa wagombea wote wa ubunge 2020 na watia nia wa ubunge 2025? Waulize hao madalali wako G55, walitokea kwenye kikao?
Kwa sababu umeanza na lugha ya vijana wa CDM wa sasa sitakujibu na nitakuweka kwenye ignore list yangu ili nisione bandiko lako lolote.Wee fala, moja ya watu walioenda Bagamoyo ni Boni Yai, Sugu na Martin. Huoni tofauti yao hapo kabla na baada? Sasa uongo wa Mnyika uko wapi? Mrema na Kinabo wao waliona hawawezi kuishi bila tonge wakaona kuna mbadala. Acha waishi wapendavyo.
Mnyika bado tunaye sana tu, ni chadema original mpaka mwisho.Mnyika nae mule mule tu
Vile kapewa ukatibu nae angesepaš
Kilichombeba Ni maelekezo ya Kitima na Katoliki
Kilichombeba ni utendaji wake. Acha kupotosha! Asingengekua mtendaji mzuri hata huyo kitima unayempakazia asingemuhitaji.Mnyika nae mule mule tu
Vile kapewa ukatibu nae angesepaš
Kilichombeba Ni maelekezo ya Kitima na Katoliki
Sahau.Mnyika bado tunaye sana tu, ni chadema original mpaka mwisho.
Si kweliKilichombeba ni utendaji wake. Acha kupotosha! Asingengekua mtendaji mzuri hata huyo kitima unayempakazia asingemuhitaji.
Alama ya picha,Tundu anatabasamu, Jamaa kanuna!
Umenikumbusha mbali. Hivi yule Mzee Vuta ni Kuvute wa Lumumba alienda wapi? Simsikii siku hizi humu kwenye Jukwaa la JF.Ni vuta nikuvute.
Yale yote ni madebe matupu"Uongozi mpya ulipoingia kabla ya kuanza tukasema tujifungie Bagamoyo na tuliamua kabla viongozi wapya hatujaanza tukae kwanza na viongozi waliokuwepo madarakani wa kitaifa, na kabla ya viongozi waliokuwa madarakani wa kitaifa, Mwenyekiti aliyekuwepo, Makamu wenyeviti waliokuwepo kabla ya hatua hiyo, Katibu Mkuu nikae na sekretarieti iliyomaliza muda wake na ile mpya ili tupate uelekeo wa pamoja," - John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Viongozi wenzetu wengi wao na baadhi yao wakatuomba kwamba wangependa tuwaache wapumzike, na sisi tunaheshimu msimamo wao wachache tukakutana nao na kwa kweli tukaamua namna ya kusonga mbele pamoja. Sasa hivi karibuni wamejitokeza wachache waliokuwa sekretarieti ambao mimi nilikuwa Mwenyekiti wao wakisema kwamba wanaondoka CHADEMA kwa sababu kuna ubaguzi, udikteta, vikao havikai mnajua watu tunawaita kwenye vikao vyote ," - John Mnyika
Ukijifunza kuhusu political science utaona namna ambavyo uelewa wako kuhusu siasa unatia mashaka.Yale yote ni madebe matupu
Wala hata wasingehangaika kuyaita
Kwanza hayana impact yoyote.
Yalidhani yatatikisa nchi kama wenzao akija Mdee...matokeo yake yamebwabwaja hata sisi wananchi wa kawaida tusio na vyama tukawa tunashangaa wanavyoanika ujinga wao.
Wengi hata sura za siasa hawana.
Wakatafute chama chao kingine watakwchoenda kuwa huru.
Chadema mkirudisha tena haya makapi mtapoteza imani kwa wananchi wazalendo ambao wamekwisha anza kuwaamini kwa wingi.