John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

Mwenyezi Mungu amnusuru saa hizi anachezea kichapo cha kufa mtu huku akiwa kazibwa macho ili asiwaone wabaya wake huku kukiwa na mwanga mdogo sana.
So sad..
Mkuu taratibu tutaifikia Sudan ya Al Bashir..
Walianza-ga hivi hivi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndio maana zacharia kule Musoma aliwatandika risasi wakaamua kumfungulia kesi ya uhujum uchumi badala ya kesi ya kudhuru maana waliona hawatachomoka.

Mkuu asaiv watu wanatafuta tu pakuanzia, ipo siku hakuna atakaye mshauri mtu ila kila mtu kwa wakati wake atatafuta haki yake
 
Mwenyezi Mungu tuepushe na majanga haya kupotea na wasiojulikana Mungu wetu sikia maombi yetu haya inasikitisha nchi ya amani TZ kuwa kisiwa cha kupoteza amani Mungu wetu zidi kutufunulia tuweze kumtukuza Mungu kwa upendo ahsante Mungu wangu
 
Mungu wetu shuka juu yetu na huruma yako itawale kusiwepo vitendo hivi vya kusikitisha tunaomba Uhuru wa mtumishi wako mdude awe mzima kwa huruma yako Bali upendo wako ukae nasi daima
 
Ni hivi. Uongozi wa chadema mkilifumbia macho hili mjue kabisa mnajichimbia shimo. Vijana tutaogopa kukosoa serikal na kukss kimya na kuishi kinafiki tu. Kama mwanachama anachukuliwa na mnajua nani muhusika then mnalala usingizi kabisa hii sio sawa. Hili tukio lilitakiwa baada ya Mdude kuchukuliwa Mbeya kusilalike kabisa hadi kieleweke.
 
Ben Rabiu Saanane ana miaka sasa
Azory gwanda ana siku 500+
Mdude chadema day one

Mungu ibariki Tanzania

Naomba wapenda amani popote duniani ulipo kila ukiamka andika namba ya siku hiyo tunaanza Leo ambapo mdude chadema ametekwa


Day 1
Wakuu, tuliyeambia kwenye taarfa ya habari TBC1 kuwa anajulikana alipo na kwamba wakubwa wanajua, ni nani?
 
"Ukishaonja nyama ya mtu huachi," aliwahi kusema Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP). Kwa sasa idadi ya walioonja nyama ya Watanzania wenzao yaonekana inaongezeka kwa kasi ya kutisha awamu hii..je kwa kasi hii tutabaki salama?
 
Gharama ya kuziba watu midomo ni the Hague tu. Hapa ndipo UDHAIFU wa serikali yetu na taasisi zake huonekana wazi.
 
Mdude ni Kama unapuliza gesi mtwara afu ukajikuta unskohoa ! Yaani Berlin conference under attractive bonus ,Ndege zenyewe hazina modulation process [emoji125][emoji125][emoji125]
Ndio Nani huyo mdude
 
Back
Top Bottom