John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

Historia huwa haifutiki maana hata kama mtachoma na kufuta vitabu, magazeti na picha video watu lazima wasimuliane na kupeana historia.

Sasa huyu kijana ambae sasa yupo lupango na anashitakiwa kwa kuuza ngada na sasa anasota. Nani alimteka kinyama namna ile?

Ikumbukwe kuwa kulikuwa na ziara ya aliyekuwa mkuu wa nchi nyakati hizo, na alipokuwa anahitimisha ziara yake inasadikiwa Mdude Nyagali alitekwa na watu wasiojulikana.

Mdude alisimulia kuwa alijikuta ndani ya gari baada ya kuburutwa kwa nguvu, na kilichoendelea ni kupigwa magumi, mateke na kutishiwa bastola. Alikuja kuokotwa na wasamalia wema ambao walimsadia kuokoa uhai wake.

Nani alilteka huyu mtu ambae mimi binafsi sioni impact yake kubwa kisiasa hapa Tanzania.View attachment 1752998
Watekaji na wauaji ni Green Guard
 
Sasa hivi jamaa yupo anaunguzwa kwa moto mkali,kibaya zaidi amewakuta kina Azory,Mams ake Kibendera,Ben sa8,...na wale jamaa wa kwenye sandalusi wapo zamu ya kuteba kuni na kuchochea moto
 
Historia huwa haifutiki maana hata kama mtachoma na kufuta vitabu, magazeti na picha video watu lazima wasimuliane na kupeana historia.

Sasa huyu kijana ambae sasa yupo lupango na anashitakiwa kwa kuuza ngada na sasa anasota. Nani alimteka kinyama namna ile?

Ikumbukwe kuwa kulikuwa na ziara ya aliyekuwa mkuu wa nchi nyakati hizo, na alipokuwa anahitimisha ziara yake inasadikiwa Mdude Nyagali alitekwa na watu wasiojulikana.

Mdude alisimulia kuwa alijikuta ndani ya gari baada ya kuburutwa kwa nguvu, na kilichoendelea ni kupigwa magumi, mateke na kutishiwa bastola. Alikuja kuokotwa na wasamalia wema ambao walimsadia kuokoa uhai wake.

Nani alilteka huyu mtu ambae mimi binafsi sioni impact yake kubwa kisiasa hapa Tanzania.

View attachment 1752998
Maagizo kutoka juu
 
Back
Top Bottom