Nimejaribu kuangalia maelezo ya mdude kuhusu kutekwa nikawa na maswali haya. Naamini yumo humu hivyo basi anijibu ama kama kuna anae jua anisaide pengine sikusikia.
1. Hizo siku zote nne alikuwa amewekwa wapi?
2. Alipewa chakula?
3. Mateso ya siku hizo zote yalikuwa ni kupigwa kichwa tu? Mbona hakina hata kovu?
4. Alitoa maelezo gani kwa watesi wake? Aliomba msamaha wamusamehe? Aliwaambia hata wakimuua ataendeleza harakati?
5. Hao watesi wake walipomuacha walimupatia maelekezo gani?
Utetezi wa mdude umekuwa too low to confirm japo nakemea kwa nguvu zote hawa watu wasio julikana.