KiuyaJibu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2007
- 848
- 191
Kwa nchi inayofuata haki za binadamu na utawala wa sheria hata mtu akifanya kosa kiasi gani huwezi kwenda kumchukua kwa style kama hiyo ukiwa unampeleka katika kitu cha polisi kwa lengo la kuchukua maelezo na kumsomea makosa yake anayotuhumiwa nayo.
Kitendo kilicho fanywa na hawa wasiojulikana ni tofauti kabisa na utawala wa sheria na haki za binadamu; kwa maana hiyo, nchi hii haiongozwi kiweledi.
Kitendo kilicho fanywa na hawa wasiojulikana ni tofauti kabisa na utawala wa sheria na haki za binadamu; kwa maana hiyo, nchi hii haiongozwi kiweledi.