John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

Lugha za staha ni muhimu sana. Ukionywa onyeka basi. Katika hali hii hamna haja ya kuficha ficha nadhani asiye na staha ifike mahali aadhibiwe hadharani.
 
watu wasiojulikana wamerudi tena!? hivi nyie watu msiojulikana mnajiamini nini kwenye hii nchi jamani.
 
Lugha za staha ni muhimu sana. Ukionywa onyeka basi. Katika hali hii hamna haja ya kuficha ficha nadhani asiye na staha ifike mahali aadhibiwe hadharani.
Aadhibiwe kwa mujibu wa sheria siyo kihuni.Halafu mbona hizo adhabu zipo kwa baadhi ya watu tu?
 
Ila hawa vijana kule Twitter wanapost vitu vya hatari sana,nilijua tu kuna siku yatamkuta,haya Sufian nawe jiandae mwenzio akinyolewa zako tia maji.Ni bora kukaa kimya hichi kipindi kipite kuliko kujiweka mbele.
 
binafsi ningesogea kiungwana...ningepara ushahidj hata wa namba za gari tu.

Hata ule muda linaondoka unapiga tu kizushi, coz jamaa walikuwa wame concentrate na kumchukua muhusika.

Msiba wa mengi ndio watatumia kama kivuli cha kumpoteza habari ya mdudeChadema, sauti zikipazwa kizembe anaweza kuwa ndio kaenda mazima.. tumuombee ndgu yetu atoke salama. wasiojulikana ipo tu siku yao. Mungu hana unafiki
 
Kuna tusi hapo kwa akili yako?
Unajua kuna levo za kuongea nazo kimasihara lakini siyo kama huyo, jinsi unavomheshimu babaako ndo hivo hivo na huyo anatakiwa aheshimiwe hivo hata akiwa mpole huwezi kumuongelea maneno makali namna hiyo.

Huwezi ukamwambia mtu ni tapeli kama huna matani nae na hukumkopesha chochote, na vile vile kwa levo yake haistahili kabisa maneno kama hayo.
 
Kwa nguvu zote hiki ni kitendo cha kulaaniwa. Kwani:
  • Hii sio nchi niliyozaliwa na kuitambua kwa miaka yote hii.
  • Hii sio nchi mtanzania yeyote ataifurahia,
  • Hii si nchi ninayopenda wenzetu nje waige mfano wake
  • Hii ni nchi iliyopoteza amani
 
Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
Sheria zipo wazi kabisa mtu akimtukana mwingine anafunguliwa mashtaka mahakamani ili akajibu tuhuma hizo, lakini kumfanyia 'u-bokoharam' huo ni uasi-sheria. "ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga". Na watu wote weseme amina.
 
kwa mdude sitoshangaa kwa lolote baya litakalompata. jamaa ana ujasiri wa ajabu wa kuandika captions zenye utata kuhusu utawala wa jiwe
1090492

Sasa mtu anaandika kitu kama hicho alafu unamuonea huruma ya nini? na ana akili timamu
 
Sheria zipo wazi kabisa mtu akimtukana mwingine anafunguliwa mashtaka mahakamani ili akajibu tuhuma hizo, lakini kumfanyia 'u-bokoharam' huo ni uasi-sheria. "ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga". Na watu wote weseme amina.
Hakunaga kitu kama hicho mkuu. wewe jichanganye uchafue utawala wa nchi alafu usubiri tundu lisu akutetee mahakamani ndipo utajua kwanini TISS wapo
 
Back
Top Bottom