sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Walimuacha atukane hawakumkanya..sasa dunia imechukua jukumu la kumfunda wanapiga kelele.Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimuacha atukane hawakumkanya..sasa dunia imechukua jukumu la kumfunda wanapiga kelele.Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
Tweet yake ya jana saa 11:14Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
Tusi likowp hapo? Ulishawahi kutukanwa wewe?Tweet yake ya jana saa 11:14View attachment 1088479
Pole ndug wapo watu hao Duniani kote Kwa manufaa ya Taifa si Tanzania tuHivi ni nani mwenye authority ya kupima kiwango cha righteousness cha mtu kama unavyosema?
Mpimaji awe yeye,mtoa hukumu awe yeye,nk?
Is this a Junta regime au nini?
Wote wanatekwa hawajawahi mpoteza mtu,hata kama wangetaka,hawana hiyo apparatus!
Wanaotekwa ni sababu tu ya kukosoa makosa ya serikali...
Hivi kwanini huo utekaji walao wateke mafisadi yote?Na wakati wapo wanadunda mtaani..
Unaenda kuua mtu kama Tundu Lissu anaetoa mawazo mbadala....Au mwandishi masikini kama Azori,au mtu kama Mdude mwenye kuongea mawazo tofauti?
This is insane!
Mbona musiba hakamatwi?
Kenua meno tu siku wanakurudia na wewe hakutakua na wakukusemea!Pole ndug wapo watu hao Duniani kote Kwa manufaa ya Taifa si Tanzania tu
mkuu, nikisoma mambo haya huwa hasira inanipanda sana. Labda kuna watu wameamua kumharibia mkuu ingawa yeye ana nafasi ya kuwaambia "Acheni!"Kuna watu tunatamani kuwatukana ila basi tu..ngoja niseme ubarikiwe!!
Hizi ni akili za ng'ombeKama wao ni chanzo cha kupotezwa wapotezwe Tu Kwa maslai mapana ya nchi maana mtu anayesababisha kupotezwa anaweza yeye kwa upande mwingine amepoteza wengi Kwa njia ya moja kwa moja au matendo yake yanasababisha watu wengine kupotea, maana mafisadi wanapoteza watu sana.
Hatari sanaZiara ya mzee imeamua iondoke na Mdude
Ni mshikaji fulani fundi software Vwawa Mbozi I know him nimewahi tengeneza simu kwakeNi nani huyo jamaa anayejiita Chadema Mdude? Maana niliposoma heading nikadhani ni typing erra kumbe ni jina la mtu!
Ndio kwanza namsikia leo. Naomba kujua matukio yake au baadhi ya maneno au kauli alizowahi kutamka au kusema.
Acha kufikiri kwa kutumia bomba la unyeo. Matusi unayajua wewe?Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
Yaani wameshindwa hataa kapicha tu, wamefeli sana kwenye hili na huu uimwengu wa smartphone
kama walishindwa eneo la tukio basi hata pale gari linapoondoka tu napo walishindwa
broo! unataka kusema ungefanyeje?
ANAVUNA ALICHOPANANDA KAMA.APIGI MSWAKIHuyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
Matusi yapi?? Anamtukana nani??Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
2020 imeshatimia hataki nzi watakao mdondoshea tonge lake mdomoni!Wasiojulikana kile kitengo maarufu cha Dikteta pale Ikulu ili kuwanyamazisha wanaomkosoa kwa kuwateka, kuwatesa na hata kuwaua kimeibuka tena kwa kasi ya kutisha.
Analazimisha kuwa Mungu mtu, hata akina horode walikuwa wao ndio wao, ila leo hii hata uso wa dunia ushazisahau dharau zao!MMNhhhh ndipo hapo napomchoka Magufuli na serikali yake….
Mmmmmh!Ndio Nani huyo mdude