John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

John Mnyika: Watu wenye silaha wamemchukua Mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA)

Haya niliyajua!! Kwa yale majibu yake na habar zake ni lazima yatokee!!

Sasa hapa tz uhuru uko wapi!?
Aheri yule mjomba avae tu gwanda za kijeshi, awe anatawala kijeda tujue moja.
Utawakuta jumapili kanisani kama kawaidwa hivi wanatumia Bibilia ipi?
 
Mangese haya yamedanya usingizi wangu uwe mzito.
 
Hakuna chama dhaifu na ovyo kama CHADEMA. Hii ifikie hatua wanachama wakiache maana hakina mikakati ya kuwapambania wanachama wake. Na kwa mwenendo huu mtaisha. Haiingii akilini mambo mnayotendewa mnakimbilia kulialia kwenye mitandao. Dawa ya moto ni moto
Aisee naunga mkono hoja ...unakumbuka ile jamba jamba walimtia jiwe kwenye UKUTA ?

Jiwe alijaa kabisa kwenye 18 wao wakachomoa dah basi ndio jiwe akaona kumbe mna beep ngoja nipande hewani

Maanina tokea siku ile basi jamaa anawakojolea tu
 
Kama wameanza kuteka raia mchana kweupe,kinachofuata wataanza kura nyama za watu hadhani sasa.
 
mwanaume kamilifu hawezi kuwa hivi. Mtu mwanaume hanisi ndiye kila siku anaandika rubbish namna hii!! wewe ukoje?
Kua mkamilifu ni kusifia ufipa? ukoje wewe kijana barubaru?
 
Mungu iokoe Tanzania... Mpe moyo wa uvumilivu ndugu yetu Mdude Nyagali.. Pia wasamehe wale wote wanenao mabaya na kutoa hukumu zisizo za haki kwa wasio na hatia kwani hawajui walitendalo.. Amen
 
Hao vilaza wa Lumumba wakikosolewa husema wametukanwa, wanataka kusifiwa tu
Ndo maana nasema kuwa uwezo wa kufikiri kwa wanna CCM ni mdogo Sana, Sasa Kama mtu katukana ndo mmteke, mbona marehemu msiba natukana kila sikukuona lakini hajatekwa?
 
Back
Top Bottom